@janethcosmeticsmoshi: HI GLOW BEAUTY CREAM Ni face cream nzuri sana kwa 👨‍🦯kung’arisha ngozi 👨‍🦯kuondoa chunusi na madoa 👨‍🦯kutakatisha uso mchafu uliofubaa na kukosa nuru. 👨‍🦯kuondoa makunyanzi 👨‍🦯kuondoa weusi na wekundu usoni 👨‍🦯Uzuri wa hii face cream imewekewa sabuni yake ambayo utatumia kunawia usoni,serum na kidonge cha glutathione ambavyo utavichanganya kwenye hii face cream yako ili ikupe matokeo mazuri kwa haraka. Bei Tsh 25,000= #0652415911 #moshi #fyppppppppppppppppppppppp #fyp #skin #skincare #tiktok #fypviral #tiktokindia #trending #congolaise🇨🇩 #glow

Janeth Cosmetics Moshi
Janeth Cosmetics Moshi
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 08 July 2024 16:30:12 GMT
84457
438
34
69

Music

Download

Comments

miss.dinnah
Miss.Dinnah :
Best face cream ever🥰🥰🥰🥰🥰
2024-09-16 11:45:51
5
khadija.khamis60
Khadija Khamis :
nimeanza kuitumia ni nzuri sana hasa Kwa sisi age go
2024-07-08 17:22:58
6
neyfaty40
Neyfaty4 :
je inategemea na ngozi?? maan nimenunua sehem nikatumia ikanitoa vichunusi kwenye kidev🥹🥹🥹
2024-07-10 09:44:29
4
raymah490
Raymah :
icho kidude ukishakikamua hukiach umo umo ndan ?
2024-08-29 19:47:15
1
user1901481381080
chansia :
sh ngap
2024-07-08 19:05:46
1
ra.ja.bu66
RAJABU BOSS ORIGINALLY :
je kama uso una vidoti vyeupe mfano wa mba inaondoa?
2024-10-28 22:56:08
1
jorine.jj2
jorine jj2 :
ukinunua yenyewe tupu bila hy michanganyo inasaidia
2024-10-25 11:38:01
0
kim_cutie22
GLADNESS🥰💞 :
mwanza mnatuma?
2024-10-13 05:54:26
0
user4600832958296
user4600832958296 :
mnapatikana wapi?
2024-08-21 07:09:46
2
millan85324
millan😍 :
unapatikan wap
2024-08-01 09:35:06
2
user5694000049829
user5694000049829 :
shingap hiyo kitu mana nami nasumbuliwa na vhunusi sana
2024-07-08 16:39:30
2
fadhila.ulom
fadhila ulom :
wapi mpo
2024-07-15 19:49:28
1
mustapha11178
mustapha@111 :
iyo kitu 🔥🔥🔥🔥
2024-10-03 15:18:40
1
user4429869700030
user4429869700030 :
naitumia ila sas nikam nimepat malasma Usoni nifanyej hp
2024-08-27 07:25:29
1
zaituni.saleh
Zaituni Saleh :
mm imenipa makunyanzi
2024-11-11 13:28:51
0
ms.bertha108
Berth 08🦋❤ :
je mtu mweusi unatumia hii
2024-10-15 12:15:25
0
www.tiktok.comnassari8
M s o m a l i 🇸🇴 :
niya usoni tu ama
2024-10-13 18:52:56
0
user8772435282461
haha de cute :
sh ngp
2024-10-07 19:38:04
2
user20724819671615
user20724819671615 :
haichubui?
2024-11-05 07:49:20
0
To see more videos from user @janethcosmeticsmoshi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About