@zebra_restaurant_: KIBRIEFCASE,!! KIBRIEFCASE!! KIBRIEFCASE!!  (INAPATIKANA KUANZIA SAA 10 JIONI) JAMANI , THE MOST UNIQUE PACKAGE HAPA TANZANIA IS HERE, ZEBRA TUNAWALETEA "KIBRIEFCASE ", JAMANI, SINA CHA KUONGEZA ZAIDI YA KUIACHA PRODUCT YENYEWE IJIELEZEE, ALAFU BEI YAKE SASA, HAIENDANI KABISA NA GHARAMA NA MUDA TULIOUTUMIA KUANDAA HII PRESENTATION YALIYOMO-: HII PRODUCT ITAKUA NA SPECIAL CHIPS MAYAI, CHIPS PLAIN, MUTABAK, KUKU WA AINA 4 AMBAO NI (SEKELA, NDIMU, NDIMU MAZIWA NA SHUMASHUMA), MISHKAKI YA NUNDU, MISHKAKI YA FILLET NA NUNDU. NOTE: KWA WATU WA DELIVERY,  UTALIPIA DELIVERY PACKAGE 2,000 NA GHARAMA YA USAFIRI ITAKUA JUU YAKO, GHARAMA YA USAFIRI ITATEGEMEA NA MAHALI ULIPO. 1.KIBRIEFCASE SMALL = 18,000 PACKAGE YA MTU 1 inakua na zege special 1, chips sahani 1, kuku wa ndimu robo , sekela robo,  fillet na nundu mishkaki, mutabak. 2.KIBRIEFCASE LARGE = 28,000 PACKAGE YA WATU 2 inakua na zege special 2, chips sahani 2, kuku wa ndimu robo , sekela robo, kuku shuma shuma robo, fillet na nundu mishkaki, mutabak. 3.KIBRIEFCASE XL = 38,000 PACKAGE YA WATU 3 inakua na zege special 2, chips sahani 3, kuku wa ndimu robo , sekela robo, kuku shuma shuma robo, kuku ndimu maziwa robo, fillet na nundu mishkaki, mutabak. 4.KIBRIEFCASE  XXL = 48,000 PACKAGE YA WATU 4 inakua na zege special 2, chips sahani 4, kuku wa ndimu robo , sekela NUSU, kuku shuma shuma NUSU, kuku ndimu maziwa robo, fillet na nundu mishkaki, mutabak. KUWEKA ODA TAFADHALI:- PIGA 0688 151783 au 0658722393 KWA ODA ZA JIONI PIGA 0745117440 TUNAPATIKAN MIKOCHENI KWA RIDHIWANI,  MTAA WA "SENGA 27 ROAD", Kwa BOLT, UBER au GOOGLE MAPS andika "ZEBRA RESTAURANT DSM"

ZEBRA RESTAURANT
ZEBRA RESTAURANT
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 09 July 2024 12:20:09 GMT
170061
5651
155
369

Music

Download

Comments

rashid.hamad
rashid.hamad :
mnauza pamoja na hicho kibubu mana nataka nikimaliza kula nikipige kufuli niweke jerojero zangu
2024-07-19 21:44:09
0
gardheer47
salim gardheer :
ukiachilia mbali chakula chenu kuwa kizuri bali wew pia unasauti nzur maashaAllah!
2024-07-09 17:53:20
7
steveminja
🦋Chivüü🦋 :
Ebu rudi umalize kuwatch video acha kukimbilia comment section umbwaa wewe🤣😂😂😂
2024-07-10 10:46:48
6
user8736880131154
bad_pain.108💣 :
mupo zanzibar au muko wp
2024-07-21 20:55:02
2
user5109586160376
miss Paulinus :
jaman mnapatikna wapi??
2024-07-20 11:19:11
1
skipper_761
aquarius :
MashAllah, alafu bei zenu affordable sana🥰🥰
2024-08-09 12:32:10
0
user2344527956346
bataboy :
dah mjin wanaenjoy haki tena
2024-08-11 04:37:36
0
anuwarybaruti
Anuwary Baruti :
insha'Allah nitakuja na team yangu
2024-08-07 09:52:40
0
mangi.mangi.070
[email protected] :
location ..?
2024-08-06 08:08:28
0
enamorbelle1
enamor belle ❤️🫂 :
Mnafanyaaa delivery
2024-07-26 19:17:31
0
sambachuta608
sambachuta608 :
msizum sana ili tuone clear view
2024-07-25 15:23:10
0
lyon270
GUNPLAY :
18???
2024-07-13 08:58:04
0
user7654212993704
[email protected] :
wow mashallah
2024-07-15 16:17:36
0
kingjay825222
jonaslaurent368 :
location
2024-07-17 07:17:34
0
faudhi.abdallah
Faudhi Abdangote :
bac mje na gongo lamboto c uko mbali
2024-07-21 10:48:30
1
mrpengo2
Mr pengo :
mwanza unatuma kwa shingap
2024-07-10 20:23:30
4
angelannko225
Chugga Gal🌹💕 :
mnapatikana wapa
2024-07-10 16:54:33
4
mikidadihassan2
mikidadihassan96 :
namba ya simu iko wapi ili tupige mutuletee tulipo
2024-07-09 22:05:25
2
atasmart6
ATA SMART :
ntumie namba yako
2024-08-04 09:14:48
2
shazamrvampire
sharanda28 :
nasis wa mbeya
2024-07-19 16:42:42
2
streetlion2024
MVP🏀 :
wapatikanaa wapiii
2024-08-26 09:59:23
0
yusuphkhamis0
yuzo. tobanjun :
mm. nipo. kigamboni
2024-07-21 11:25:42
1
dida_love123
dida_love123 :
kwan ivyo vinawaka ni vinini
2024-07-20 12:09:08
1
kifabri
Kifabri. A. :
jaman nakiitaji iko kigamboni darajani nakiomba jaman ntakilipia na usafiri pia jaman
2024-07-19 15:38:39
1
armiedal
Armiedal :
nipo kimara
2024-07-17 07:59:01
1
To see more videos from user @zebra_restaurant_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About