@paulabduel: Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule. Mathayo 24:24 #fakepastors #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #viralvideo #everyone #imani

The Paul
The Paul
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 09 July 2024 20:53:43 GMT
16000
228
23
94

Music

Download

Comments

gulamhusseinmoham
gulamhusseinmoham :
na kwanini asifanye hivo wakati waumini hawana akili.
2024-07-11 08:03:19
5
messager.mumbere2
Messager Mumbere :
🤣
2026-08-29 14:42:07
0
user5848542916619
user5848542916619 :
cha ajabu waliotandikwa vibiko wengine ni wasomi wenye degrees na masters , Wakristo AMKENIIII🤣
2024-07-10 05:06:13
3
abrary17
Abrary :
wanataka na wao hawana akili loo ukiristo sio dini jaman mutauliwa😅😅😅😅
2024-07-12 09:43:25
2
godwillhelpme_
It requires patience :
YAANA WAPUUUZI WOTE
2024-07-11 07:43:46
2
aboutricah8
Aboutricah :
hananja alisema kweli
2024-07-11 12:17:47
2
zari6226
zari :
hahaaaaa
2024-07-15 19:44:37
0
djsmile36
Dj smile 😂 :
Na bado 😂😂😂😂😂
2024-07-13 07:15:16
0
ogunyamarwa
👑OG :
Nyie mmejuaje kama ni FAKE???...
2024-07-10 04:59:14
0
user3422888125884
bakuluti-23 :
wachape sana mpk wakome wamjue mungu wa kweli maana wamezidi kusikia mahubiri Tena chukua waya wachape sana
2024-07-10 08:22:35
1
nascoba5
nascoba :
huyu mchungaji itakuwa ni familiya ya kibwetele shubaamiti wacha awatwange tu!🤣🤣
2024-07-17 07:26:28
0
hamadsheni
Hamad Sheni :
YEREMIA 50:6 YEHOVA ACMA KONDOO WANGU WAMEPOTEZWA NA WACHUNGAJI WAO.
2024-07-15 16:46:49
0
mman46
mman33Nasser :
Wachumba na wafuasi wao wote watatumbwikia Ktk shimo moja 😔
2024-07-14 13:58:06
0
adammj268
Adam Mj :
Haya majitu afadhali ya visiki lol!!
2024-07-10 18:28:24
1
user6371730485655
True Faith :
wakirsto ni mabwabwa
2024-07-15 14:01:45
0
user1481724547122
peter emanuel pulli :
Mchungaji ongeza kichapo, wazembe wakusoma maandiko wanaamini miujiza hao Twangaaaa
2026-09-06 07:43:09
0
esterchallo
Ester Challo :
ivi kama kusoma hujui hata picha huoni jamani mungu hatafutwi kwa njia hiyo .
2026-09-23 11:06:06
0
user1481724547122
peter emanuel pulli :
Mchungaji ongeza kichapo, wazembe wakusoma maandiko wanaamini miujiza hao Twangaaaa
2026-09-06 07:43:09
0
ineedyoujesus8
ineedyoujesus8 :
😂😂😂😂
2024-07-10 07:26:30
0
vivianatieno030
vivianatieno030 :
😄
2025-12-25 21:22:51
0
saddam.khamis
saddam khamis :
there was no satan in Africa before the missionaries came..
2024-07-10 06:44:40
0
To see more videos from user @paulabduel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About