Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@juma_zahoro: 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗢𝗧𝗛𝗠𝗔𝗡 𝗠𝗔𝗔𝗟𝗜𝗠 - 𝗨𝗦𝗜𝗣𝗘𝗡𝗗𝗘 𝗝𝗜𝗕𝗨 𝗞𝗜𝗟𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗨. #sheikhothmanmaalim #viral #viralvideo #foryoupage #foryou #islamic #islamic_video #jumazahoro
Faidika Na Mawaidha
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 11 July 2024 12:46:25 GMT
142312
8613
113
1427
Music
Download
No Watermark .mp4 (
5.08MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
5.08MB
)
Watermark .mp4 (
8.96MB
)
Music .mp3
Comments
user71322379370 :
🥰🥰🥰yarabbi naomba niwekee huyu kiumbe maana kila ninavomsikiliza moyo wangu hupata furahaa sn MUNGU atulinde na vinywa vyetu inshallah 🥰
2024-07-11 17:31:45
27
MISSZANZIBAR😍 :
Yarrab nipe subra maana mm kuonewa sipend kabisa
2024-07-30 16:11:48
5
mr logistics :
katika mashaikh wenye hikma na maalifa makubwa namkubal sana shaikh
2024-08-28 19:01:29
4
BOSS AMAZON 🆗 :
Allah atujalie tuwe wenye kujizuia tunapokuwa kwenye hasira👏
2024-07-11 14:02:03
13
ngoma ngumu :
🤲 amin
2024-07-17 18:57:57
2
Omar Omar :
YA ALLAH TUJAALIE TUWE MIONGONI MWA WATU WANAOWEZA KUJIZUIA WAKATI TUNAPOKUA NA HASIRA
2024-07-11 13:44:59
9
Princess Salsha Salim :
swadakta
2024-07-11 15:40:45
4
𝗜𝗳𝗮𝘁𝗞𝗵𝗮𝗻9♥️🇹🇿🇮🇳 :
Yaarabbi wape maelewano ya usahihi mashakhe wetu ili tusikhafiliane baina etu🥺🤲
2026-02-19 01:32:01
1
ratifahussein313 :
😭😭😭sasa jamani mie nashindwa kuvumilia nimeolewa mume wanguh kanipa ujauzito ndugu zake wanamwambia mimba itakuwa sio yakoh anasikiliza ndugu zake kakubali sio yake na kaambiwa MPE taraka katoa😭😭
2024-09-21 07:37:32
2
Saumuabdallah@ :
naam
2024-09-29 18:22:34
1
Talha Iddy :
allhamdulilah nafanyia kazi Sana hili somo natamani kujua account yake original naomba msaada anaeijua please 🙏🥺
2024-07-19 14:38:01
1
Maryam Sappa :
Amina Allaah atupe subra
2024-07-11 17:57:53
2
Mnirah Mustafah :
shukran sheikh wetu kwa mawaidha mazur jazakah Allah kheir
2024-08-07 12:53:45
1
Nalubega Neema :
ndio
2024-08-20 06:13:47
1
mamushka...namushka :
kweli
2024-07-16 02:47:38
1
warda :
kabsaa kakangu sheikh wetu mungu akubariki akufungulie kila lakheri inshallah
2024-07-11 15:07:54
3
simbe Beautiful 😍❤️🙏 :
Amen 🤲🙏
2024-08-06 06:47:38
1
Silence killer 👀🤙 :
aya shehe naomba nitoke nje ya mada mm mawazo yataniuwa nisaidie njia ya kuondoa trauma na stress
2025-07-23 14:45:37
0
kitoto :
Mashaslwah sheikh
2024-07-14 18:39:03
1
SwartDida :
Aamiin, Swadkta
2024-07-12 15:24:28
1
hasan og :
ok
2024-07-11 21:36:57
1
0000 :
MashaAllah Alhamdulillah
2024-07-11 22:12:28
1
rukiya :
Asalam alaykm shehe tunaba utusaidia Dua tunaumwa nasiru na ruhania tusaidia shehe
2024-07-12 11:15:58
1
SORAYA 😊🤌🤘😇 :
Allah atupe subra
2024-07-12 04:16:47
1
zuhura170 :
Allah a tusamehe yarabi tuwe watu wema mbele yako
2024-07-11 17:43:30
1
To see more videos from user @juma_zahoro, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Lấy vợ lỗ không? #xuhuong #phunu #sachhay
Nhỏ Noah nghỉ hè là 2 mẹ con có thêm thời gian với nhau, ôm ấp suốt ngày thôi nhưng tôi vẫn nghiện nhỏ lắmmm #ComfortDiuNhe #LuuHuongDiuEm #HợpTáccùngUnilever *Tất cả hình ảnh nhân vật được tài trợ bởi Unilever Việt Nam
Nicolás Otamendi 😍🫠#otamendi #seleccionargentina #lindo #ftypシ
😂
johnny depp evolution (2026-1984) #nostalgia #johnnydepp #evolutionchallenge #throughtheyears #foreveryoung
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy