@peshyluv: Replying to @Cute Sia💞💞 #mwanza #tanzania

Pendo
Pendo
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 July 2024 12:30:15 GMT
80949
3494
309
478

Music

Download

Comments

user3532593173497
Gina ❤️😘 :
wadada wa5 tujiunge twende apa tukakae tupunguze msongo wa mawazo wenye tunateseka na mawazo mengi kidgo hii sehem inatufaa
2024-07-16 04:47:35
7
scentsbynj
scentsbynj :
Ninavyojijua akili zangu lazima ningefanya mapenzi kwenye hio private pool 🤭
2024-07-15 08:34:35
5
user488332167579
user488332167579 :
dear bei yake
2024-07-14 12:28:04
4
catitya
CaKaMu :
wana account tiktok tuone bei?
2024-07-20 16:00:55
1
ojmakusi
ojmakusi :
ROCK 🪨 CITY
2024-09-28 13:36:20
1
bintishangwe
Binti Shangwe :
kupelekwa kwenye cottages unapanda boat? mh! sio Wag Hill nayoijua. Nyuma ya hizo cottages kuna barabara za kuingia vyumbani
2024-07-15 11:46:18
1
mrsmaliti
Dee🥰❤️ :
ila kwenda cottage sio lazma boti mahii 🥺
2024-07-18 19:38:47
2
btrice241
Btrice :
Nimenote point ya mwisho😁😁😁 “ukiwa unapesa” hahaha
2024-07-17 07:46:56
2
bongomantz
Bongoman🇹🇿🇶🇦 :
Mbn unaongea kma ex wangu embu onesha uso😁
2024-07-14 16:34:30
1
wuod.arch..bishop
B-Shop :
Unaeza nitembeza nikija Tanzania? Niko kenya.
2024-07-28 01:17:10
1
lushinge255
moses :
Baada ya zanzibar sehem nzuri iliyotulia kwa utalii ni mwanza tanzania
2024-09-28 11:49:14
2
thophy1.cute
baby phia💦 :
luchelele iyooooo🥰
2024-08-28 08:45:59
1
fikayo036
Ayman :
watoto wa kishua bhana
2024-07-16 09:02:37
1
ayshersungura2
Daddy's heart ❤️ :
gharama zao zikoje
2024-07-18 17:36:38
1
queenkassanga
queenkassanga :
sijasikia panaitwaje?
2024-08-12 07:34:46
1
user2405626325482
no gain no pain :
Napafananisha na capripoint kwa mbaar
2024-09-30 21:48:15
1
josephjacksonhasa
BB DullAh :
laki 350k unahudumiwa kila kitu namaisha chakula vinywaji na kulala hiyohiyo pesa
2024-07-21 20:22:29
1
issaboy667
issa sofa mwanza :
seem yng pendwa sana💪
2024-10-03 07:49:20
1
zeeyandaaa
Zena :
nimesoma sauti 😍 I used to go to wag hill every other Sunday
2024-07-27 15:04:08
1
macklineadam173
FLOEL :
panaitwaje
2024-09-12 12:37:46
1
user5818402487315
user5818402487315 :
kiukwel hata me nilienjoy pia pako vizur mno☺️
2024-07-15 21:42:10
1
puritysajo
Purity Sajo :
hao ni ngedere!! kweli ni pazuri mchawi pesa tuu😁
2024-07-15 20:51:21
1
kagame70
Kagame _tz :
panaitwaje
2024-07-17 05:58:28
1
_tness1
🩷Tness wigs 🩷 :
manzari ni nzuri ila vitu vyao ni local bado
2024-07-20 12:11:44
1
user15325170415523
malyamzungu0742281663 :
cost yake per day ikoje
2024-07-14 13:50:33
2
To see more videos from user @peshyluv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About