@gapowertv: Pazito 🙆‍♂️: Atimae Mama Elocho Mwigizaji Amjibu Kwa Kejeli (Mama Elocho Aliye Jitokeza Jana Na Kudai Yeye Ndie Mama Mzazi Wa Mwigizaji Elocho Kila Mtu Adai Mtoto Ni Wake… Je Tumkubali Nani Ndie Wa Kweli Wa Elocho Mwigizaji? Vita Vya Maneno Vya Wapagawisha Mashabiki Pande Zote Mbili Msikize Mama Elocho Alivyo Jibu …😀 Full Interview On GA Power Tv Channel Yetu Kwa Sasa .. #GAPOWERDIGITAL

gapowertv
gapowertv
Open In TikTok:
Region: US
Sunday 14 July 2024 19:08:52 GMT
6843
170
7
11

Music

Download

Comments

dalydia2
Lydia Ungwa Saidi :
muulizeni elocho mwenyewe
2024-07-14 19:39:02
2
zainabello2
𝒱ℯ𝓇ℴ𝓃𝒾𝓀𝒶🩵 :
Kwani uyo elocho mwenyewe iko wapi?
2024-07-14 23:16:11
1
alinoti.titina
Alinoti Titina :
huyo mama wakuja ana wivu ndomana wabembe mnahuwana kwawivu wahujinga hampendagi mahendeleo yawengine, mama elocho wa camp uwe makini sana
2024-08-12 09:00:36
0
user1508397166363
eugeni :
ghaiiii kwani nyinyi wate amna watoto wengine ndo maana mna mngangania?
2024-07-21 18:54:27
0
user2842144347775
sela lusambya :
Daaah 🤔 tunajuwa wew ndo mama elocho
2024-07-15 08:19:49
0
riziki.makaya.sha
Riziki Makaya Shabani :
niatari kweli atamtoto anaishiwa
2024-07-15 04:10:34
0
To see more videos from user @gapowertv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About