@josemtusita6:

Josemtusita6
Josemtusita6
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 July 2024 08:32:35 GMT
134093
1705
124
164

Music

Download

Comments

ratifambega568
ratifambega568 :
Pole
2024-07-17 13:27:51
1
missbarb8
Barbiemiey :
Rip🥺💔
2024-07-20 01:41:04
0
moddysanawy
Mohamed Hassan :
So sad. RIP
2024-07-16 03:18:01
0
nicknina7
Nick Nina :
Rip
2024-07-15 20:38:30
0
dimpozclassic77
Dimpoz Classic :
yan kukaa kama kizanzibar aaah thubutu yani ntapanua miguu tuu 😳😳😳 so sad
2024-07-15 10:27:20
14
vickyelphas12
vee🌸 :
Yaan huu mkao n mbaya mno
2024-07-15 20:03:55
6
allymtemi
Ally Mtemi :
Vyovyote utakavyokaa ikifika imefika tu inna lilah wainna ilaih rajuun Allah atujaalie mwisho mwema.
2024-07-16 17:09:25
20
user1575030675251
esau ngao :
tunawambia kila siku ukaaji huo hata madeleva wasikubali kumpakia ivo kama hataki kukaa vizuli achana nae
2024-07-15 11:06:59
8
zumareedy
Zumareedy :
kuvaa suruali kwenye mishe mishe ni muhim unakua flexible jaman
2024-07-15 08:56:16
7
user8817118657817
user8817118657817 :
raha ya milele umpe ee BWANA na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani amina poleni sana wafiwa MUNGU awatie nguvu familia
2024-07-15 14:19:55
20
tablet.turbonet
zuwena zanzibar :
polen Sana wanasingida wenzangu mungu ampe kauli Thabit 🤲😥🙆🙏
2024-07-16 12:36:53
0
khamisnassor837
Khamis Nassor :
Allah alishampangia kifo chake kiwe cha hivo na kila mmoja atakufa alivo pangiwa na Allah kikubwa tumuombe Allah atujalie mwisho ulo mwema t2.
2024-07-17 11:17:46
2
mariamu667
nayla hobra :
siku yako ikifika humpi mwenzio utaishika mwenyewe na utakwenda nayo Allah atupe mwisho mwema ishaallah
2024-07-18 19:10:10
1
suzana.suzanamwan
Suzana Suzanamwangingo :
yuwiii jamani jamani .jamani kafa kifo cha uchungu sana uwiii
2024-07-24 17:14:25
1
millennial.p
Leo🦁 :
ndo style yangu hio...basi kuanzia leo..Mungu amlaze pema
2024-07-16 13:30:53
1
oswaldtusekege
Oswald Tusekege :
pamoja na hayo kinga ni bora kuliko tiba
2024-07-16 05:49:06
1
amosalbart202
Amos Albart chadenyile :
kwa hiyo shida hakuna kifo hutafuta sababu
2024-08-18 12:47:10
0
user6562230666144
twister mwasilelwa :
kwani lazma mpande pikpik
2024-08-18 10:40:26
0
tiffamaka0
ratifamakambaa :
huu mkao mm nilikaa tulikimbizwa na askari tigo mzeee nikaruka niliangukia tumbo toka sikuile mm nimekoma
2024-08-13 17:28:58
0
ino07073
ino :
mungu ailaze loho yamalehemu mahali pema peponi😭😭😭😭
2024-07-30 08:17:32
0
suzana.suzanamwan
Suzana Suzanamwangingo :
mungu wangu
2024-07-24 17:13:12
0
g559290
G.... ❣️❣️ :
jaman hii kitu iliwai nikuta lkn namshukuru MUNGU nilinusurika , gar ilishika breki na niliumia mgongo tu kidogo , any way Rip mom😭
2024-07-22 15:15:55
0
zahra.msabah15s
Zahra msabah15s@ :
ajali ni ajali hata ukaeje
2024-07-22 14:05:58
0
doreenomm
First born :
ivoivo nliangukaga mbagala
2024-07-22 09:29:29
0
user3301048306867
john_04 :
pole sana Pumzika kwa amani
2024-07-20 18:31:45
0
To see more videos from user @josemtusita6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About