@luqmanhilal07: @LUQMAN ❤️ HILAL 🥀 ...pukhtoon zinda bad🔥💪🤟#1millionaudition #imrankhanzindabad #luqman❤️hilal🥀 #viraltiktok #foryoufage #fypシ゚viral #bajour #foryou @ABID SHOPPING MALL ✌️

Luqman hilal 07
Luqman hilal 07
Open In TikTok:
Region: PK
Monday 15 July 2024 18:33:56 GMT
608
330
60
6

Music

Download

Comments

anayat_khan_080
🔴🇧🇫Anayat☾︎★☽︎khan🇧🇫🔴 :
❤️❤️
2024-07-16 22:13:17
1
murad_ali149
Murad Ali 149/10R :
❤💘🥰
2024-07-26 08:05:20
0
luqmanhilal09
Luqman HILAL 75 :
✌️✌️✌️
2024-07-16 18:46:10
0
luqmanhilal26
AWAISKHAN :
✌️✌️✌️
2024-07-16 18:48:26
0
luqmanhilal037
LUQMAN HILAL 🥀 :
💔💔💔
2024-07-16 18:51:41
0
sudaisahmad792
🥰SOHAIL AHMAD💔 :
😜😜😜😜😜
2024-07-17 06:01:47
0
shahadjanmusakhel
شہاد جآن•𝙔Ø𝙪𝙎𝘼𝙛𝙯𝘼𝙄⚡ :
❤️❤️❤️
2024-07-17 09:26:22
0
muhmmadhamza_30
🌹Hamza ❣️ :
🥰🥰🥰
2024-07-17 11:40:23
0
nisar.khan.4
🥀☞𝙉 𝙞 S 𝙖 R☜🥀 :
🥰🥰🥰
2024-07-17 13:09:15
0
hamza.dawar2
Hamza Dawar :
🌹🌹🌹
2024-07-18 05:54:25
0
saidkarim549wakar
Wakar king :
🥰🥰🥰
2024-07-19 14:57:57
0
shahidmalang8042
Shahid Malang 🇸🇦💔🇸🇦 :
💔💔💔
2024-07-23 09:47:35
0
noor.khan9847
noor.khan9847 :
❤❤❤
2024-07-24 17:12:54
0
murad_ali149
Murad Ali 149/10R :
❤❤❤
2024-07-26 08:04:40
0
sudaisahmad5799
SUDAISAHMAD :
🥰🥰🥰
2024-07-16 18:42:43
0
awaispathan283
Awais pathan💥💥 :
🥰🥰🥰
2024-07-31 01:22:58
0
zeeshan.882
ZEESHAN.KING✌✌✌ :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2024-07-31 08:54:04
0
rahmansheer985
رحمان شیر خان :
❤❤❤
2024-08-01 17:05:45
0
khan339614
Khan 💪🤟👿👈 :
💔💔💔
2024-08-23 07:06:26
0
sefat.ullah64
⚔️SEFAT پختون⚔️ :
♥️♥️♥️
2024-08-25 04:58:56
0
shahidkhansalarzai
꧁•COMRADE⊹•꧂ :
♥️♥️♥️
2024-08-26 12:11:01
0
harisjani.561
HARIS jani K❤️👈 :
🥰🥰🥰🥰
2024-09-01 22:51:00
0
subhanwafa15
subhan :
❤❤❤❤
2024-09-04 07:23:46
0
subhanwafa15
subhan :
💖💓💖
2024-09-04 07:23:48
0
To see more videos from user @luqmanhilal07, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Imeelezwa kuwa kwa sasa Mkoa wa Geita unakadiliwa kuwa na watu wanaoishi na Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi 95100 ambao kati yao Asilimia 82.2 wanatambua hali zao za Maambukizi huku asilimia 99 wakitumia Dawa za Kufubaza Virusi vya Ukimwi na wanaotumia Dawa za Virusi vya Ukimwi ni Asilimia 98.3 na wamekwisha fubaza Virusi vya Ukimwi. Hayo yameelezwa na Mratibu wa Kudhibiti UKIMWI Mkoa wa Geita , Dkt. Yohane Kihaga wakati alipokuwa akiwasilisha Taarifa mbele ya Wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Mapambano dhidi ya Ukimwi katika Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita ambapo amebainisha kuwa kwa Mujibu wa Utafiti wa athari za Ukimwi kwa mwaka wa 2022 / 2023 kiwango cha Maambukizi kwa mkoa wa Geita kilikuwa ni Asilimia 4.9.
Imeelezwa kuwa kwa sasa Mkoa wa Geita unakadiliwa kuwa na watu wanaoishi na Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi 95100 ambao kati yao Asilimia 82.2 wanatambua hali zao za Maambukizi huku asilimia 99 wakitumia Dawa za Kufubaza Virusi vya Ukimwi na wanaotumia Dawa za Virusi vya Ukimwi ni Asilimia 98.3 na wamekwisha fubaza Virusi vya Ukimwi. Hayo yameelezwa na Mratibu wa Kudhibiti UKIMWI Mkoa wa Geita , Dkt. Yohane Kihaga wakati alipokuwa akiwasilisha Taarifa mbele ya Wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Mapambano dhidi ya Ukimwi katika Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita ambapo amebainisha kuwa kwa Mujibu wa Utafiti wa athari za Ukimwi kwa mwaka wa 2022 / 2023 kiwango cha Maambukizi kwa mkoa wa Geita kilikuwa ni Asilimia 4.9. " Mkoa wa Geita kwa Mujibu wa Tafti za Athali za Ukimwi kwa Mwaka wa 2022 / 2023 kiwango cha Maambukizi kwa Mkoa wa Geita ni Asilimia 4.9 , wanawake ni asilimia 5.6 na wanaume ni Asilimia 4.2 utaona kiwango cha Maambukizi ni kikubwa wanawake kuliko wanaume lakini kwa Utafiti wa Athari za Ukimwi kwa 2016 / 2017 ulionyesha kwamba kiwango cha Maambukizi kwa Mkoa wa Geita yalikuwa ni Asilimia 5 , " amesema Mratibu wa Kudhibiti UKIMWI Geita , Dkt. Kihaga. " Kwa Mkoa wa Geita watu 95100 wanakadiliwa kuishi na Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kati yao ni Asilimi 82.2 wanatambua hali zao za Maambukizi na Kati yao wanaotambua hali zao za Maambukizi asilimia 99 wanatumia Dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi lakini wanaotumia Dawa za Virusi vya Ukimwi ni asilimia 98.83 wamekwisha fubaza virusi vya Ukimwi unaona kuna mwendelezo mzuri wa Huduma , " amesema Mratibu wa Kudhibiti UKIMWI Geita , Dkt. Kihaga. Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania , Dkt. Adam Mrisho amesema lengo la kufika Mkoani Geita ni kuhakikisha Bodi inafika na kuangalia namna fedha zinazotolewa na Mashirika pamoja na Serikali zinafanya kazi kupitia Bodi inayoidhisha Fedha , amesema lengo lingine ni kupokea Mapendekezo kutoka katika Makundi mbalimbali ikiwemo Ofisi za wakuu wa Mikoa , pamoja na Halmashauri . Naye Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Kudhamini UKIMWI , Sabasaba Moshingi amewaondoa hofu Baadhi ya watumiaji wa Dawa za Kufubaza Makali ya Virusi vya Ukimwi kuwa licha ya Mashirkka , Taasisi kujiondoa katika kutoa Misaada ya Dawa za ARV lakini Serikali bado inaendelea kuhakikisha Dawa hizo zinapatikana katika meneo yote yanayositaili kuwepo kwa Dawa hizo.

About