@denzel_trainer: STROKE RECOVERY WORKOUT-NAOMBA ANGALIENI HII VIDEO MPAKA MWISHO! Hahahahahaha Leo nilikuwa nimejaribu kumdanganya kwenye zoezi alilo kuwa anafanya hili nione kama kweli ataweza kugundua ninacho mfanyia kwenye zoezi lake au hato gundua, nilikuwa najaribu kuupima ubongo wake na akili yake, hili nione yupo shapu kuelewa, kumbe alisha nigundua muda sana ninacho mfanyia kanishtukia. TAFADHALINI! NAOMBA MNIPIGIE KWA HUDUMA YA PERSONAL TRAINING. #0718942338 #0718942338 #0718942338 #0718942338 #0718942338 #0718942338
nyie tulio anza kumuona huyu mzee kipindi anaanza ndio tunaelewa .mpaka hapo alipo fika mabadiliko yanaonekana
2024-07-19 08:32:01
76
JARINDA💕 :
mliokuwepo hapa tangu kaka anaanza tizi siku ya kwanza gonga like hapa.kaka Denzel unafanya kazi nzuri
2024-07-19 18:20:16
24
gemmy :
mungu ni mwema jmn huyu baba anapona🥰ibarikiwe mikono yako
2024-07-20 06:54:34
8
BIN RWABBAH 003 :
nikiona uyu Mzee I rem ule Bibi 🙏🙏may her soul continue R.I.P🙏
2024-07-19 20:40:07
22
Happy store :
🥰🥰nimefurahi kumwona huyu mzee amepona jamani.nilikufollow sababu yake we kaka una kiti chako cha pekee mbinguni una moyo sana.siwajui ila basi nawapenda Mungu awatunze
2024-07-19 08:00:03
40
LC 300 Series :
best friend
2024-08-20 08:56:55
1
tumsime17 :
Mzee ameRECOVER kaaabisa aisee…glory be to God and job well done @denzeltrai
2024-07-19 15:09:25
11
issa ally533 :
kuna jambo la kujifunza saana yaan afya tuliyonayo ni kitu muhimu saana .yaan kusimama na kukaa ni kitu kidoogo ukiwa unaweza lkn ukiumwa ni kitu kigumu saana.
tumshukuru mungu kwa vitendo
2024-07-19 11:28:18
4
ROBHI :
😂😂😂😂 ety naona unachokifanya nikamali iyo
2024-07-19 06:56:37
5
NOTHING TO SEE :
from one stroke patient to another, you're doing well my brother. that's not easy, sit to stand may look easy to most but to us, it's an extreme sport but you're doing great 🔥
2024-07-25 14:07:09
1
ALVIN J.J 🗽 :
chief unajua kitu inaitwa kiazi kitamu ,kama wakijua ukipata mtu kama huyu unachukua yale majani madogo ya juu anatafuna recovery yake inakua nzuri zaidi
2024-07-22 09:54:25
0
Nesi mwakafuje :
daah mungu nipatie maarifa ya kutafuta pesa kweli nimeamini pesa ndio kila kitu daah angekuwa hana hela angekuwa kitandani sasa 😭😭😭
2024-07-19 21:25:39
5
LIJON :
wow! glory to God anaendelea vzuri, hongera sana trainer💪
2024-07-19 07:22:47
5
ester wilson79 :
hadi amekuwa bonge nyie,,,,Asante Mungu
2024-07-20 03:55:02
2
LILYMAM collection :
🔥🔥🔥🔥jamani nafurahi kwa kweli,,mzee wetu anaendelea poa kbsaa🥰🥰🥰
2024-07-22 16:04:04
1
Boniphace Sevelini :
Nakupa mauwa yako brother.
2024-08-08 08:25:35
1
Anna Lucas :
Mungu mwema kwel kipindi anaanza bila kuwa na Iman huwez recover kwa wakat
2024-10-03 11:46:22
1
allymatokeo556 :
Unadanganya 🤣🤣
2024-07-27 20:30:03
1
MELS :
God is faithful i tell u. i have watched this man heal. Denzel barikiwa
2024-07-19 09:57:26
19
Nah baby :
ubarikiwe danzel good job
2024-07-21 02:51:36
2
Chuma :
Stroke doesnt need all that
small movements to improve circulation,walking&massage
2024-08-01 04:06:30
2
aisha wa yanga 💚💛 :
mungu mkubwa atapona inshahllah
2024-10-12 14:07:28
0
Banciebancie fancy :
Huyu msee yawa God Asante
2024-10-12 21:52:44
0
🍽️Anna's Kitchen & Catering🍹 :
uko wap
2026-09-03 11:19:37
0
🎀🎀🎀🎀 :
Mwalimu anategea mguu mmoja😫!!! 😂😂 sisi ndo wale wachongeaji tangu shulee😂
2024-07-22 22:00:23
0
To see more videos from user @denzel_trainer, please go to the Tikwm
homepage.