@gapowertv: Wazungu Wanakwambia It’s FINALLY: Atimae Mwigizaji Elocho Tumebatika Kumpata Siku Ya Leo Nakuweka Kila Kitu Wazi Juu Ya Swala La Mama Yake Mzazi Ni Nani Leo Kila Kitu Kimewekwa Wazi… Skiiza Alicho Kifafanuwa Kati Ya Mama Yake Mdogo Na Mauwa Tausi Kama Mama Yake Wamaigizo Atamani Kutokwa Na Machozi Tazama Kilicho Endelea Kupitia Interview Hii .. Full Interview Tayari Ipo You Tube Channel Yetu Kwa Sasa #GAPOWERDIGITAL #ELOCHO #MAMAELICHO