@lenzi.michaelkamukulu: Unatambulika kwa lipi? Unatambulika kwa nafasi ya cheo chako au inatambulika kwa matokeo ya ukichokifanya ukiwa kwenye hiyo nafasi? Dunia ni watu, na watu wanatafuta na kuheshimu matokeo. Matokeo chanta kwa watu yatakupa wafuasi hata baada ya kuondoka kwenye nafasi yako. Wekeza kwa watu, wekeza katika kuwapa watu kitu kilicho bora. #foryoupage #mindset #tanzaniatiktok #motivation #swahili

LENZI | Michael Kamukulu
LENZI | Michael Kamukulu
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 22 July 2024 13:34:30 GMT
22353
2190
158
200

Music

Download

Comments

victor_mwambene
Victor Mwambene :
Very Poweful My Brother, Tuandikie Kitabu Aisee.
2024-07-24 01:43:13
8
user5831814336121
user5831814336121 :
nice
2024-08-03 07:48:36
1
gideonmarko0
gideonmarko :
Good message
2024-07-29 11:33:40
1
fichashidaukitabtham
"fichashidaukitbatham"🤓 :
motivation🙏
2024-07-22 14:52:22
1
goldenboe38
G :
am blessed
2024-07-22 13:42:13
1
mebuali
Mebu Ali :
Respect ✊
2024-07-24 16:09:56
1
emilybosire1
Emily Bosire 🇰🇪 1 :
Very true 🥰🥰
2024-09-01 22:06:46
1
ennock42
Enock OG. :
congratulations brother.
2024-07-22 18:54:24
1
masterkg39
user2673757965987 :
true brother
2024-07-25 06:51:03
1
user6821142276993
baraka mwishabi :
God bless you!!!!
2024-07-24 21:47:30
1
momiiii459
momiiii. :
fact kaka 🤝🤝🙏
2024-07-22 17:22:28
1
fahadsajad0021
fahad sajadi0021 :
true💯💯
2024-07-25 14:32:29
1
user8713397803583
Grecious Gerald :
🙏thankyooh broo blessed forever..
2024-08-23 11:14:13
0
joakimsanya
user1306365200069tiktok.com/@h :
ukweli kabisa 💯💯 mkuu
2024-09-06 08:15:45
1
kherryugama
kherryugama :
sahihi
2024-09-06 04:38:36
1
sagessemuhindo2
sagessemuhindo2 :
mrc beaucoup kaka mungu akubariki niko RDC
2024-08-31 20:34:38
1
sagessemuhindo2
sagessemuhindo2 :
napenda kuku fuata sana kaka natamani sana kupata hata fursa yakuwa mwanafunzi wako kwakuwa napenda hekima zako kaka natamani sana nami nifunze wengin
2024-08-31 20:33:53
1
joemoshy
Joe Moshy :
Salute👌👌
2024-08-29 18:39:34
1
ommykizz1
Ommy Kizz :
kweli kaka tuandikie kitabu kk
2024-08-27 19:52:26
1
elizabethmbombo18
Lizzie.decor :
Naguswa na kujifunza sana..Barikiwa kaka
2024-07-24 19:12:48
1
daudi.juma1
Daudi Juma :
Nakukubali sana mkuu
2024-08-23 05:11:07
2
pendo7641
pendo :
dahhh! umeongea point broo💪🙏 hakika ✍️🤝
2024-08-22 18:15:35
1
sadiismail2
said :
wewe hatari sana 🤝
2024-07-22 13:42:29
2
johnmsenga199
John Msenga :
ubalikiwe kaka
2024-08-10 17:17:07
1
emmanuelmasero179
Emmanuel Masero :
Hongera san bro
2024-08-09 23:18:45
1
To see more videos from user @lenzi.michaelkamukulu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About