@lishe360: Hujui umpikie nini mtoto jioni? Jaribu pishi hili leo kwa mtoto kuanzia miezi 06 na kuendelea. Msosi huu ni mtamu mno na umesheheni virutubisho tele kwa mtoto kuongezeka uzito. Viazi mviringo, njegere pamoja na karoti. Sisi tumesaga kwa maziwa fresh. Unaweza kuongeza unsalted butter kidogo sana wakati wa kupika. Usiache kujaribu hii leo uje unisimulie😋
lishe360| Darasa la lishe bora
Region: TZ
Wednesday 24 July 2024 13:14:37 GMT
Music
Download
Comments
user3495174782744 :
Is it ok to add salt
2024-09-17 00:34:44
2
madame Temfo :
combien de mois pour qu'il en mange?
2024-07-26 08:40:21
4
natha_beauty_skin :
miezi 4 anatumia?
2024-08-24 10:42:30
2
zalish tz :
napenda mtt wang awe kibonge lkn mh
2024-07-30 11:02:34
1
奈哒 :
for 6 months ?
2024-08-14 02:35:49
1
user6637144976733 :
my daughter is 6 months is it ok kumpikia hivo
2024-10-06 15:29:18
1
Aminatu ❤️🥰💞💋🇧🇴🇺🇲 :
my son is 9 months old Can I give him
2024-08-01 18:02:04
1
dorcas :
Arusha mnapatikana wap?
2025-04-17 04:08:19
1
Zainab Kunambi :
miaka miwili anatumia lishe
2024-09-24 16:41:31
1
zippy makee :
hiyo maziwa ni gani tafadhali
2024-09-11 20:13:38
1
madam vee :
Brenda inaitwaje. iyo inafaa sana kwa chakula cha mtoto
2025-05-26 12:26:44
1
Ms_jestina :
Hayo ni maziwa ya ng’omb..?
2025-10-14 13:59:31
1
Zainabu _9090 :
Hizo njegere zilichemshwa
2024-07-30 07:05:07
1
it's- jojoh :
haiwekwi mafuta wala chumvii
2024-08-18 16:52:32
1
Agnatha :
hvi hayo unayo weka nimaziwa ya ng'ombe yakawaida au yale ya dukani naomba unijibu kipenz nataka nimtengenezee mwanangu
2024-09-13 13:25:32
2
Trice_outfit :
Maziwa nawek ninayomnyoshea au maziwa ya ng’ombe .?
2024-10-27 10:22:57
1
mom twns🥰 :
ayo maziwa gan
2025-01-06 16:08:48
1
asiasaidi :
nisaidien ratiba ya wiki mzima jaman
2024-10-30 16:56:43
1
evona@0 :
miezi 5 na wiki moja anaweza kutumia?
2024-09-01 14:56:07
1
Ruelle Product :
Nzuri hii sana
2026-07-23 11:14:35
1
sonia besimi :
c'est quel lait on met là pour bébé
2024-10-18 16:49:05
0
Miss Rose❤️🥰 :
😹😹😹
2025-10-01 04:58:21
1
bint uheche :
😳😳😳
2024-09-25 05:00:48
1
juci kawiche :
🥰🥰🥰
2025-02-08 20:28:06
1
#222222 :
😁
2024-12-08 08:31:19
1
To see more videos from user @lishe360, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.