@baharia1704:

Newadi Baharia
Newadi Baharia
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 28 July 2024 21:51:31 GMT
54844
2152
108
153

Music

Download

Comments

zahorsaleh3
zahorsaleh3 :
uwepo wa Ali na ahmedi..wameufanya mpira ni urafiki na sio uadui....lkn haji anaufanya mpira ni uadui....hafai
2024-07-29 03:47:50
41
user1900818148032
Jamal daud :
mie ni mwanasimba lakini Ali kamwe namkubali so yupo really sana hana konakona nyingi kama hilo senge sijui lajikuta nani
2024-07-29 01:38:33
26
lucasleonard72
Donta D'e Donny :
broo piga kazi achana na bwabwa manara huyo
2024-07-29 04:43:45
8
96momoduu
Teemumy :
daah ali jamn😭😭😭😭
2024-07-28 23:14:24
3
aminahhuawei
Da mii :
Huyo Haji manara nilituzima ilaa halijitambuwi nalichukia hilo babu mm ni simba ilaa kiukweli ali kamwe unapambana sana kaka yangu baki nawana yanga wewe🙏❤
2024-07-29 04:42:01
5
user3242113031551
Mkulima kama mkulima pandezetu :
nabado hamuja chema hadi mcheme dogo unakashifa mbaya san wew
2024-07-29 00:51:54
1
enockendrian
user2425048511190 :
kuna Muda mashabiki tuwe tunaulizwa haji sawa anaaamshaamsha Lakini sifa zinamzidi mpaka anavuka mipaka kwanza hawataendana na Ahmed ally kiupinzani
2024-07-29 03:25:29
3
richard.mhiru
Richard Mhiru :
haji anamatatizo sana
2024-07-29 03:48:28
2
user2036988112465
suzybale og :
haji ana wivu
2024-07-29 03:27:57
2
user1010830872919
user1010830872919 :
yani mm kiupande wangu ww una kosa hila uyujama linashida sana
2024-07-29 02:57:12
1
user2294202531453
Salim brown :
hyo ya zamani sana
2024-07-29 02:53:53
3
sundaygregory
sundaygregory :
wewe c ulichagua andaz
2024-07-29 02:24:44
2
roycejohn815
roycejohn815 :
semaji letu tunakuitaj ww
2024-07-28 23:57:43
1
danielphares3
danielphares3 :
wajukuu wa magoma😂😂
2024-07-29 07:12:49
0
user33477071059748
camanda :
matako huyu anafufua makaburi hiikesi iliisha yakitambo toka mpole anatakiwa yanga
2024-07-29 07:07:43
0
pilishaban789
nyapizo :
tatizo haji yuko na umbea mwingi yuko kama... .
2024-07-29 06:57:54
0
user6544755615930
user6544755615930 :
Ally naomba sema alhamdulilaah ila kaenichni yaishe musiwape watu faida maanini sheitwani
2024-07-29 06:53:44
0
patrickfussi1
patrickfussi630 :
Hahika akiondoka huyu kwenye kiti chake yanga yetu itakosa radha sana
2024-07-29 06:41:01
0
kingsaimonliciel2030
KING of LICIEL@2030 :
Haji ni mtovu wa adabu abadan ndo mana hakai na wanawake shida ni yeye
2024-07-29 06:40:44
0
esterkanudachandaruah
mwasi razaro :
usikubali kuyumbishwa kijana wangu nakuomba hakuna mafanikio yasiokuwa na changamoto songa mbele kijana nakushauli kunamamutu na watu🤔
2024-07-29 05:52:29
0
miss_smille
Nanaa Simba! :
Mlimuona Haji Mtu eee. Chukueni basi.. Hamumjui Haji Eee?
2024-07-29 05:49:06
1
izackkomba1
izackkomba728 :
daah! nimeumia sana yanga tunaanza kuwapa watu wa simba nafas za uongozii
2024-07-29 05:41:28
0
hafidh7491
hafidh :
manara ana shida sana tuache ushabiki wa michezo ni mjinga vibaya
2024-07-29 05:40:20
0
calvintz7
kevootz7🇹🇿 :
alikamwe na ahmed n watu wa mpira kwakweli
2024-07-29 05:40:11
0
emmabrastus255
Emmabrastus255 :
hilo jamaa sijui likoje bora hata lilitoka kwetu.. kamwe kwa kwenye njia yako hata lisikusumbue bweeege kabisa
2024-07-29 05:39:41
0
To see more videos from user @baharia1704, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About