@shaaban_b.omar: Let us reason together

Baba Haleema
Baba Haleema
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 29 July 2024 20:20:51 GMT
41518
1422
383
81

Music

Download

Comments

salvatz
@salvatz :
sir I'm interested to learn philosophy how can I get books
2024-07-31 07:51:30
3
jodd747
joddy_747 😂😂 :
unapoint acha personal attack
2024-07-30 08:57:09
1
user6184284910130
edson ngogo :
asante
2024-07-30 17:52:59
1
abdulatwifmzukarw
abdulatwifmzukarw :
@wachokonozi
2024-07-29 21:47:15
1
ibrahdebright
user8492751881449 :
God bless you
2024-08-04 15:02:48
0
user33294969843092
user33294969843092 :
respect teacher
2024-08-02 21:18:29
0
njombeigosmandevu
NJOMBE..IGOS.MANDEVU :
UKWELI NI KWAMBA KAMA MUNGU NI MMOJA KWA NINI TUPISHANE MAANDIKO KWAIYO KUNA MUNGU WAWILI SI NDIO😃😃
2024-07-30 11:40:49
25
user909827311
duli :
mwalim abuu nakukubali sana karibu pemba
2024-07-29 21:13:15
12
riziki.masawe
Riziki Masawe :
nyie wote ndio wendawazimu hakuna mungu hizo ni stori za watu waliotutangulia zamani mungu gani mnasema anagawa riziki kwa mafungu huo c upendeleo
2024-07-30 10:48:52
11
bakariweja
bakariweja :
tupe ushahidi wa mungu kwa macho na sauti yake
2024-08-01 05:43:50
9
mohamedmbarak615
mohamedmbarak615 :
vichaa nyinyi km hakuna Mungu umekujaje hapa duniani
2024-07-30 05:43:30
6
juma.mwanga7
Juma Mwanga :
sasa tukitoa mahandiko alf tujadir kuusu mungu... tunajadir nin kuanzia kweny nini.. ...je wao wametoa wapi izo taharifa
2024-07-30 20:10:30
5
dna1792
Giga-One🐀 :
hivi zamani kabla ya hizi dini za kuletwa imani yetu tuliielekeza wapi?
2024-07-31 07:22:15
8
kadriibrahim33
kadriibrahim236 :
Subir pumzi ikate ndo utajua nyoko wewe
2024-08-01 12:41:36
5
j.kilimanjaro
kilimanjaro :
dini zote kutoka utumwani zatakufa tunapoendelea kufunguka akili na kujua ukweli wapuzi ndio wamebaki kwenye dini
2024-07-30 17:38:18
4
mfacity
M@f!a👊C!ty :
Mungu aliumba dini kabla viumbe avijaubwa Baada y kushuka viumbe ndy dini ikaanza kushuka kwa mtu mmoja mmoja kwhy wao wasiwe n wivu kw7b gan hawajateuliwa wao kila mwanadam anapat anachostahili
2024-08-02 14:39:26
1
user5443178413319
Mr. J :
hapo umeongea maneno mazuri nimekufolow now endelea ukizingua nakwambia ukweli nakuchana hapa hapa mm pia nawapenda wachokonozi wanaonge point za sana
2024-07-31 12:30:41
1
kq1st
K. Q. Leysh :
dini ni biashara tu mzee wangu
2024-08-04 13:43:24
0
doctorlove_4
doctor-love :
kama umewahi kulima mahindi sehemu yenye nyani utagundua kwamba nyani wanajadili nyani wa sasa wanapiga hadi nyeto mzee
2024-07-30 13:55:34
4
user3948498447978
Marekani mgp :
watu hawajui maana ya Mungu, maisha yetu yametengenezwa na mtu mme na mtu mke sio Mungu
2024-07-31 09:13:35
4
dante2233333
dante :
sheikh kuwa shujaa kuliko wanazuoni wenzio waongo.. wanaopata shida kuambia waislam Quran yako i efikisha m 100 juzi mkala pilau wenyewe
2024-08-02 09:52:04
0
allondakanonko
allondakanonko :
SHIDA YENU WAISLAM KIALABU BERE HIVI KUONGEA KISWAHILI UNASHINDWA UNASIKIA ALLLLLLLLHHJJGCBN
2024-07-30 21:26:43
3
boys69431305
Plazz :
apana tuna taka usifunguwi vitabu vya warabu
2024-08-01 14:32:48
0
2adamson_george4
Adamson George. :
Naomba kujua wanafalsafa n akina nani tuweze kuwaamini, (ili twende sawa!)
2024-07-31 16:24:26
1
To see more videos from user @shaaban_b.omar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About