@wasafi_media: #Mashamsham2024

Wasafi Media
Wasafi Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 July 2024 12:02:53 GMT
918769
23778
489
287

Music

Download

Comments

nurumrish
Nuru mrisho :
kifupi sipendi kuoga bila ata kupewa pesa 🤣🤣
2024-07-30 12:30:29
231
alphatips2
Alpha Tips📖 :
Ambao atujaoga jana tujuane kwa like hapa ♥️😂🤣
2024-07-30 13:57:15
69
fatma_luiz
fatma luiz :
me mkinipa laki mbili za kenya napiga week nzima 😭😭
2024-07-30 15:25:39
15
rockflyerr
essy :
ukikaa mbeya wiki kawaida🤣🤣🤣
2024-07-30 14:15:55
17
fraziamsonge
Sugar :
Yan kuna milion 2 siku 5 bila kuoga nipeni mimi nikae wiki 2
2024-07-31 05:52:04
4
rich.thdon
Rich forever ♾️ :
uko nangapi nimalize mwaka
2024-07-30 17:04:37
7
salhabell311
salhabell♍️ :
Aya nipewe iyo million2 nikae mwez😂
2024-07-30 14:05:47
33
zulekha.amar
Zulekha Amar :
Mi nipeni chips kavu nakaa mwezi
2024-07-30 13:01:26
4
officialdebrah
debbie collection 🛍️ :
😭mi mwili wangu unatabia ya kudai kuoga
2024-07-30 13:02:33
5
vee11774
vee💞 :
miaka miwili shingapi
2024-07-30 15:45:25
5
aishafranco773
aisha yanga 💚💚🇹🇿🇹🇿 :
mimi hata laki mbilitu naacha kuoga hata mwezi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2024-07-31 12:34:30
2
thatgirldoreen
thatgirldoreen :
mnamasiharaa nyinyi😂😂 Aya nipen elfu kum
2024-07-30 15:15:58
15
acbthedon2
almasisheshe :
hili swali linawahusu wanawake tyu au hadi wanaume
2024-07-31 05:48:08
2
ummu_kamillah
Ummu Kamillah :
Nani kama Mama🥰
2024-07-30 17:47:03
2
charles.mgomba
Charles Mgomba :
kwamwezi mnanipa beigani
2024-07-30 20:09:40
1
user5026874883676
user5026874883676 :
alfu tatu tu inatosha
2024-07-30 19:41:30
1
ashachande2
ASHA CHANDE :
mm nakaa hata mwezi mzima
2024-07-30 20:14:09
1
mauwadida1
💕mauwa🌼 :
nakuna hawa wenzetu jee mwez mzm wahakoga wala hawajal team strong nazan mmelewa
2024-07-31 06:09:05
2
gitram2
Gitram :
Are serious 😂😂😂don't play with money nijaribu na laki 😅😅😅😅
2024-07-30 20:04:46
8
user8407945841811
lyina Ndewingia :
mimi hata pesa sitaki...kuoga sipendagi
2024-07-30 20:25:24
1
halimaraju1
rujaina raju :
aje kwalabu hawaogi ijuma hadi ijuma ndio wanaoga kuoga kwao udi na papyum
2024-07-30 14:40:05
3
mrs.khalid66
didah al mbarawa 🤍🤍 :
ongezea na million mbili nisioge mwa mzima😂😂😂😂
2024-07-30 18:44:18
1
mom_nice1222
N🇹🇷♥️ :
mi napenda kuoga ila kwa pesa ata mwezi kwa efu5 naweza kukaa
2024-07-30 21:34:06
1
zuhura.magamba5
Zuhura Magamba :
mimi laki moja tu nakaa week mzima kubababeki🤣🤣🤣
2024-07-31 07:29:12
1
farijikasalumu
Farijika Salumu :
naombeni hiyo hata wiki mbili napeta
2024-07-31 05:10:21
1
To see more videos from user @wasafi_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About