@africanrunner: @JkT @JWTZ @Billy_southern_giant #jeshi #jkt #chenja #shabiki #mabio #mchakamchaka

@sprinter🦋
@sprinter🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 31 July 2024 03:51:45 GMT
921810
33201
543
1426

Music

Download

Comments

ngosha519
Ngosha og💪 :
Daaah one day yes hii kazi inaninyima sana usingiz Aisee naipenda sana
2024-07-31 15:56:58
48
user86071667023364
art Alpha @ :
duuuh napenda sana one day yes😔
2026-01-31 18:26:55
1
user4472401914835
zainabu samwer :
kazi kuimba tu kumpa maji mtoto wawatu ahaa
2024-08-13 21:26:59
27
vick.tz0
Vick tz :
nataka niolewe na mjeshi jomn
2024-08-02 08:10:49
39
tricial14
It's Tracy💕💕❤️ :
Nipeni no ya mmoja basi apo
2024-08-05 18:38:42
14
2302_nkrumah
Kwame Nkrumah :
m23 wanasumbua DRC mngeenda mkawape somo kama kipindi kile
2024-07-31 07:38:51
13
user3555656178519
moureen :
ugonjwangu ni hawa viumbe nawapend san jamniii🥰
2024-09-02 19:45:57
10
nundo5
Nundo :
Kazi naipenda lakin me napenda utawal
2024-07-31 06:23:21
12
user2920202353060
user2920202353060 :
nafasi
2026-04-16 15:25:22
1
entertainer2005
Entertainer 🇹🇿 :
Nilipenda sana kuwa mwanajeshi ilanage inazidi kata na sijafanikiwa 🥺🥺🥺
2024-08-04 18:01:44
8
user82794358612264
Ruthatstore-decor&fashion :
nyie mnaniuz ctak ata kuwaonaaz c wapendiii mnoo
2024-08-13 21:45:25
5
roobenedward
Rbn Jr🔥🔥 :
kazi kufanya mazoez2 kuomba ata frend mechi na urus mpigane tujue mmefikia hatua gani aaaah😁
2024-08-26 11:37:37
6
nelsonnguzo
NELSON NGUZO :
@Nelson Nguzo:kama umeshuka comments section kabla hujamaliz video yote we need to be friends 😂🤣🤣
2024-08-04 19:28:29
9
dadetywilson
Dadety Wilson :
Nakubali mwanang masanja
2024-07-31 08:31:26
12
usergpadboy
Gpad Boe Once Again :
Alie na khii nyimbo Full anisaidie Hata jina la khii chenja
2025-09-09 09:57:14
2
evalin.walimo
enjo@@kimario :
nataka kuji unga kamanda
2026-03-04 14:53:49
1
jizzo.sela45
JIZZO SELA4⃣5⃣🎤 :
hawa ndo wa2 ninao wakubal mm
2025-10-17 18:00:26
2
maodokhan
Maodo__Khan 🧢 :
nataman na mim kujiung na jesh jaman
2024-09-20 14:13:06
1
mulles_shabiki
FANS OF MULLES :
nakumbuka malimu wangu aliniambia mwanajeshi ni sw na mbwa skumuelewa ikanibidi nimulze kwann akanambia mbwa akiambiwa suu na bwana wake anafata iwe jambo la kheri au la shari wao wanatumikia tu wakub
2024-08-09 06:12:35
3
beanpiii
PIiiiiiii :
kweli sema msisahau mnaenda kukutana na waliojifunza kama nyie ko iyo ni kama duby
2024-10-13 18:28:48
1
sebastian28285
sebastiansichalwe :
Naipenda sana kazi ya jeshi, hongeleni sana jeshi letu la Tanzania kwa kuendelea kuchapa kazi
2024-10-24 13:51:04
1
agreyjohnson
agreyjohn7 :
Amiin
2024-10-19 04:29:55
1
japhet_joseph1
japhet kenedi :
inxhallaah Mungu nixaidie nifike na niximamaie taifa letu by Ngalaa
2024-10-12 20:39:00
1
eastkibegi_
Eastkibegi :
hapa ni kiembeni kiharaka karibu na mbweni
2024-07-31 17:40:21
3
edson.edgar4
Edson Edgar :
Nyimbo kari sana heshima kwa mwamba
2025-09-18 19:33:53
2
To see more videos from user @africanrunner, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About