@trtafrikasw: Ismail Haniyeh, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, ameuawa na Israel katika makazi yake katika mji mkuu wa Iran, Tehran, kulingana na taarifa iliyotolewa na kundi la Palestina. Mauaji yake yamekemewa na viongozi mbalimbali wa dunia. Hii ina athari gani kwa mazungumzo ya kusitisha vita Gaza? #trtafrikaswahili

TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 31 July 2024 07:56:21 GMT
132132
4401
146
158

Music

Download

Comments

jamali.selfu
jamali selfu :
Allah allah
2024-07-31 18:25:22
3
abasbillow
hybrid :
we live in a world of double standards
2024-09-25 06:30:40
0
zawadi.bernard
Zawadi Bernard :
wauwawe wote wanaokwenda kinyuma na Israel,mpaka watakapojua kuwa Israel ni Taifa teule la Mungu
2024-08-02 12:02:48
13
sheru2284
Sheru2 :
vip Israel Ina ingia ktk tawala za watu?? na kuingia ktk nnchi za watu?. Mbona netanyau ana sababisha vita za uchokizi??.
2024-07-31 12:32:25
7
dedy.bro
AL FALLAHY :
Inna Lillah wainna ilayhi rajiun 😔
2024-07-31 16:44:01
12
masuo425
masuo :
siajabu Kua Iran ilihusuka pia
2024-07-31 13:22:12
5
fortunatusdeograt1
fortunatusdeogratias :
ndo ttz la kuingia kwenye battle na wayahudi
2024-07-31 13:16:34
6
musaissa72
musaissa72 :
acha iran ajichanganye kwa hasira&&&
2024-07-31 12:45:21
6
12gahaksheuruj
Bamcha :
Iran hawakuweza kumlunda wakati wao ndio walimualika aje kuhudhuria sherehe yao ya kuapishwa mtu wao.hapo kuna namna iran kuwachia hao waliofanya hilo tendo .
2024-08-02 04:37:28
5
user1792263113150
mamali :
Pumzika kwa Amani Ewe Simba Hania umepigania ndugu zako haqi yakupigania Mungu akurehemu
2024-08-01 04:06:47
5
antonykajange
antonykajange :
kifo cha Ibrahim Rais tu kinachanganya ogopa yahudi
2024-07-31 20:52:36
5
teddymichael3
teddymichael :
Mungu bariki israel, alaaniwe ailaanie izrael, abarikiwe aibarikie israel
2024-10-03 20:14:15
3
user1217204261704
seif :
mung amlani kila anaeunga mkono israel
2024-09-30 19:05:52
1
abdulazizinurdini
Aziiz :
ukiskia Israel imejichimia kaburi ndo hi sasa kwasabu hiyo siotu kumuua huyo kiongozi Bali ni uvamizi kwa Irani
2024-08-02 05:14:49
2
davidaguvasu8
DAVID AGUVASU :
Israel itawapiga tena sana🤣🤣
2024-10-01 07:13:54
2
user19509453241473
laizer :
akuna haja ya amani sababu hawa Palestine walianzisha mziki wasioweza kucheza acha ngoma itambe
2024-08-04 07:02:55
4
ztown0
YB GHOST LIFE :
hapa sasa kazi ipo mn uzuri wa wenzetu wakieka kisasi basi ujue tu watalipiza kweli
2024-07-31 14:00:31
4
bigirimanasaidi
bigirimana :
usalama wa viongoz wa iran uko hatarini kama missade wanaweza kuuwa mtu wanaotaka kwa muda wanaotaka,iran inatia aibu
2024-07-31 18:48:07
2
josemuragu5027
josemuragu5027 :
walifanya vyema kumalizia huyu shoga gaidi
2024-09-29 10:48:09
1
user5871843155693
Director ngobe@Tz :
mwenye kibur amjibu Israel
2024-09-25 08:43:18
1
justardzelphine
mutajz :
wapìge tu aha waaràbu, mapuuzi tu
2024-08-01 14:12:41
3
engasavic
ManuelAfrica :
Mungu uko wapi ????🤨
2024-09-12 22:32:17
1
govanah06
Di Govana :
Mosaad
2024-08-01 02:24:54
2
bico292
Nicko :
Wacha kabisa
2024-07-31 16:09:30
2
To see more videos from user @trtafrikasw, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About