@nezzo08: Mmoja lazima akosee😂 #trending #fyp #fypシ #followme #trendingvideo #tiktok #fypシ゚viral #viralvideo #foryoupage #Love #foryou #everyone #truestory

nezzow
nezzow
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 31 July 2024 16:31:27 GMT
84545
4790
176
562

Music

Download

Comments

tawaqal_ki
HeisT :
@Ask!!?:which country is this?
2024-08-02 12:58:25
0
position360
SMG💎 :
visit tabora
2024-08-09 09:44:19
0
afem_boy
ally feruzi :
mimi ndo handsome tz nzima 😅😂😂
2024-08-01 16:53:23
0
iddy677
iddy677_ :
eeeh i see my bro erick😅
2024-08-01 04:08:13
0
zeecute000
Zee Baby♥ :
Ndomana nawaigi meza za mbele 😂😂Endelea kukaa nyuma kuna sku utakosa ad Njegele😂😂
2024-08-01 03:15:13
81
rachelyelly35
riancy8 :
kuringe😁
2024-08-01 09:21:49
9
jacksonwilliam292
Jackson William :
mi huwa nawaza kama nitabahatika kupata paja la kuku mara nyingi huwa naangukia shingo na wenzake
2024-07-31 18:05:45
26
zhah_23
Z H A H :
Nikajua ni mimi peke yangu nawazaga kuku kwenye sherehe na kubeba lazima nibebe😂
2024-08-01 17:13:15
24
feynar
feynar mursary :
watu wanakosa ad pili pili😏 sembuse kuku
2024-08-01 14:56:29
13
afri_gal4
afri gal :
kumbe unamawazo kama yanguu🤣🤣
2024-08-02 07:44:44
4
itscubby29
Cubby :
achana na kuku.. m nataka tu foil isinipite maana kuna wahudum wanjikutaga kama hawaoni watu wengne.. na shere sku izi chakula cha mwisho kabisa. nan wa kula saa tano😂😂
2024-08-01 20:56:34
4
meddy__26.6363
meddy__26.6363 :
kumbe tupo wengii tunao wazaga kuku watatoshaa au vip 🤣🤣🤣🤣
2024-08-01 17:24:50
4
becky__divah
becky__divah :
mi inaniumaga jmn kukosa ata kimoja😂😂 yan mara ng'ombe iishe mara kuki imebaki migongo tu😂😂😂
2024-08-01 19:48:43
2
jonasson78
mary j :
😂😂😂😅hiyo yote ninjaa imekaza bro
2024-08-14 20:50:32
1
ferrybernard0
Ferry Bernard :
ishawahi kukukuta Ile unafika zamu yako wewe eti kuku ndio zimeisha na unakuwa wa kwanza kutaarifiwa Ile inauma sana asee
2024-08-13 09:44:41
1
cillen22
Exasher :
🤣🤣 Lastborn wamtu huyuu
2024-08-11 05:22:53
1
maggiewilly1
~Gie🌻 :
Na huyo mmoja n wew😁
2024-08-01 20:10:05
1
charlesmwambene
Charles Mwambene :
Wapo waliowahi kula bibi harusi pia😁
2024-08-01 19:27:17
1
redaud09
cherry :
Yooh 😂 wote walipata bhn
2024-08-01 19:25:51
1
ben_ferdy
benferdy :
Ila mbona zinabakigi😂😂
2024-08-01 18:24:29
1
mengerejohnny17
Johnny jr 17 :
nmejikumbuka🤣🤣🤣
2024-08-01 13:21:45
1
ashy2k24
Miss Ashley :
daah me too huwa nawazagaa..kuna day nilienda kwenye harusi nyuma yangu alikuwa dada angu eti anaeserve nyama akaona sis ni ndugu akatikatia jmn nilitamani kulia😂😂😂😂
2024-07-31 17:07:10
1
louismilinga
louismilinga :
kaka kwa mc will nilkosa
2024-10-07 11:45:40
0
stewartneyzer
stewartneyzer :
bila kukosea hii ni prim Rose Hall 😎😎
2024-10-03 11:13:20
0
user3532618338010
Hillu gal🧕🦋 :
🤣🤣🤣🤣makubwa
2024-10-01 07:11:03
0
To see more videos from user @nezzo08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About