Sheikh shukran kwa wasia ila wake wa siku hizi ma ibilisi๐๐๐
2024-07-31 20:31:24
51
Leo๐ฆ๐ฐ๐ช :
mm hata naishi kama msukule,hata Sijui raha ya ndoa Tena..nimesubiri,nikajifanya kipofu,lkn mtu anakufungua macho lazima lazima ili mradi tu uone matendo yake,.i give up๐๐ฟ
2024-08-03 16:39:12
30
Twinklingtiers๐จ๐ฆ :
Subra imetutia maradhi ๐ญ
2024-08-01 01:39:05
38
user2755626387452 :
lnsha allah shehe lakini izo subla ndio zimetufanya tumepatwa magonjwa ambayo hatukuwa nayo kabla
2024-08-02 04:56:09
29
Modhize Aguko jnr :
Shukran kw mawaidha yenye ukumbusho n naswaah, kweli ndoa ina mtihani yake.
2024-08-02 19:31:25
5
Official Abuu Ali :
Hakuna subra kwenye aya ya ndoa Bali Kuna kuoneana huruma
2024-08-01 07:17:42
22
Raeesa :
yani Aliyo posti Aya mawaidha mungu akupe afya milele kama uliniona yaliyonitokeya sasaivi nikasema nishike basi zangu sim nikafikia kwenye post hiyi na bwaa mme alikuwa pembeni yangu
2024-08-01 04:52:08
19
@ ๐ Bint J* ๐ซ๐ :
kuna wengine tulijitahidi kuvumilia tukaonekana hatuna pakwenda๐๐๐๐ญ๐ญ๐ญ
2024-08-04 15:28:51
35
TK :
Allah atujalie ndoa zenye kheri na anijalia niwe mke mwema in Sha allah.