@peter_gold3: Je ? Kipimo hiki ni cha kweli??? Weka coment yako

peter_gold3
peter_gold3
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 August 2024 21:11:26 GMT
30691
878
94
37

Music

Download

Comments

mr_king5656
Mr king :
Nyamishiga iyo au sio
2024-09-23 05:06:44
0
mayala1645
James Mayala :
nikimuona huyo mtu namchukia mno japo nililipa kisasi kwa mwenzake wa vipimo vya aina hiyo kwa kumnyanganya na kuvivunja kabisa
2024-08-05 23:18:58
5
mr_king5656
Mr king :
Nyamishiga iyo au sio
2024-09-23 05:06:44
0
evancejoel11
evayoh :
u ni uakika kama unaeneo ni pigie nkupimie usini@pe ela mpaka uanze uzalishaj ni na mining detector
2024-08-17 14:10:55
0
isackshitindi
isackshitindi :
WAPUMBAVU SANA WALINILISHA HASALA YA MILION I 60 CHIMBA CHIMBA WAPI CHIMBA TENA WAPI WAKAMATWE HAO WAJINGA
2024-08-06 10:56:14
2
parepure
TAITA :
Mimi hiyo system nilitumia kuchimbia kisima cha maji na nikapata. Sasa inakuaje huyu anatafutia mwamba wa dhahabu🤣🙌🏽
2024-09-21 06:49:29
0
mayala1645
James Mayala :
hamna kitu Hapo! huyo Makaranga mungu anamuona alichotufanyia Inyonga na kutoroka, hicho ni kipimo cha kupima mkondo wa maji
2024-08-05 07:21:16
0
mkinguzi
Mkinguzi :
Hicho kipimo kinafanya estimates na huwa kiko Sawa ila hakitumiki hivyo, long range detection haifanyiki hivyo na part nyingine ya mashine hapo hajaionesha
2024-08-11 11:37:05
1
fundi.wakishua
FUNDI WAKISHUA :
huyo ni muongo nilipoteza Hela kinoma
2024-08-07 06:08:13
0
waziri.manture
waziri manture :
bro survey ya mining especially gold ni gharama kubwa ,huyo jamaa asirahisishe mambo,tuchimbe tu kwa asili,ila tukisema tufanye survey tunafilisika mitaji
2024-08-05 22:29:26
0
waziri.manture
waziri manture :
hizo kazi za kupima broo ni wazungu wa Australia ndo mambo Yao hayo sie wabongo tuchimbe tu kwa mazoea ,huyo jamaa sidhan kama yupo sahihi ila Hy kazi wanaweza kufanya watu wa gst kwa kudrill bore hol
2024-08-05 22:14:19
0
steve.phd
𝑺𝑻𝑬𝑽𝑬 𝑷𝑯𝑫 💰 :
Hahah jamaa ananikumbusha mbali sana, tushawah pimiwa kwa huo mtindo, tukakodi Excavator ikachimba wiki na nusu na tukatoka empty 🤩🙌🙌
2024-08-06 19:41:09
4
musa.safary2
Musa Safary :
makaranga upo
2024-09-23 19:14:16
1
user7047701749928
Eric catex :
kuna mtu anakuja kulia hapo🤣🤣
2024-08-08 18:57:50
2
yuukali1
[email protected] :
Hakuna kipimo hapo nilishachimbishwa sana na hizo takataka
2024-09-02 07:29:54
1
benjatv3
BENJATV3 :
Hamna kipimo hapo anakiongea ni uongo mtupu.
2024-08-11 10:56:25
1
user1328777538792
marki joseph :
huo ujinga tu wakupoteza nguvu za watu
2024-08-06 22:21:48
1
liberatusjackson
Liberatus Jackson :
kaziii 🤣🤣🤣🤣🤣zakijinga
2024-08-06 08:34:23
1
mayala1645
James Mayala :
hovyo kabisa ni kutia hasara tu watu ipo siku atakuja kupigwa
2024-08-05 07:21:59
1
nestyy92
Nesty :
vipimo hivyo havipo accurate kwenye kupima dhahabu...maana kinaweza kikapima maji yalipo mengi kikakuingiza chaka..
2024-10-16 05:47:07
0
user5928161613411
jimmy :
Hicho kipimo kinasoma mpaka maji Hamna lolote
2024-10-10 07:37:19
0
user7587228159227
breezy :
kipimo cha maji hukoo
2024-10-06 14:36:08
0
user7587228159227
breezy :
matapeli hao
2024-10-06 14:35:45
0
jimmy.michael07
Jimmy Michael :
tapeli uyo
2024-10-03 06:16:07
0
tommj34
tom :
Uongo mkubwa hayo madudu yanapima njia za maji tu sema maji yanapita kwenye miamba siyo kwenye ardhi kwahiyo lazima awaambie mwamba unapita hapo
2024-10-02 21:52:23
0
To see more videos from user @peter_gold3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About