@jitibunyumbani02: Hii Ndio Kiboko Ya Magonjwa Yote Ya Figo, Maajabu Ya Tiba Asili. #tibaasilia2024 #tibaasiliakwaafya #Tibaasili #tibaasiliatanzania #tiba #magonjwasugu #magonjwa #magonjwayawanawake

JITIBU NYUMBANI
JITIBU NYUMBANI
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 August 2024 21:25:22 GMT
477328
8820
455
3769

Music

Download

Comments

user8343914245906
otondo edith :
daktari niko na dadangu ako na ulcers na acid anachomeka mdomo pliz anaweza tumia dawa gani
2024-08-09 23:39:24
9
millennial.p
Leo🦁🇰🇪 :
mm naomba dawa ya kuacha pombe,marungi,sigara,bangi..na ugoro..🥺
2024-08-05 20:20:01
3
ms_.drayaa
Ms_.drayaa :
@Ms_.drayaa: Kweli video za TikTok zinaweza kukufanya uchanganyikiwe jana nilienda hospital kupima kila kitu nikadhani nina dalili za kuumwa figo kumbe ni hofu tu sina changamoto yeyote saa nyingine ni Hali ya mabadiliko ya mwili 😭sio kila dalili ni figo inafeli
2026-09-23 04:30:34
0
ashamgonde905
Asha Mgonde905 :
dawa ya sikio tafadhali linavuma,linagonga km mtu anapiga msumari kwenye bati la linauma mpaka na upande wote wa kichwa
2024-10-09 21:36:13
0
nimja.jay
Nimja jay :
Niambie na dawa ya canser
2024-08-09 22:12:10
1
geofreynjovu1981gmail.co
Ngonifaceless channel :
sio mstafeli ndio unatibu
2024-08-05 13:27:46
3
marshed653
marshed :
nataka dawa ya kupendwaa
2024-08-07 14:05:48
0
_hancy1
user6034312901902 :
dada yangu ana chronic kidney disease, yani figo zimefeli kabisa na anafanya dialysis, je akitumia ataacha dialysis na kupona kutokana na dawa hii
2024-10-30 09:18:26
0
joycekandoje
joycekandoje :
kuna uwezo wa kuchemsha haya majani ya embe nakunywa? au inabidi kunywa hayo yakutwangwa?
2024-08-18 17:02:42
0
user4241383556034
user4241383556034 :
jamn mie vidonda vya tumbo naomba msaada, yani moto unawaka tumboni hadi huku mgongoni
2024-08-13 15:20:41
1
godsbaby180
God's Girl&Jk's Girl 💞💕💯🥰 :
kaka mm naomba ya kushika mimba
2024-08-08 06:12:33
0
user1761438250953
Ivan the Don :
haya si majani ya muembe, maana video yenyewe kwangu Haina sauti
2024-08-07 08:08:16
2
twariq16
bash bash :
lkn mbona huku TikTok madaktari wame kwawengi sana mpaka tunashindwa kuwaamini
2024-08-07 11:11:58
2
baksham12
BaKsHaM :
mi nomba ya dawa ya kupunguza mafuta mwili
2024-09-25 11:22:04
3
say_chaga_boy_inc_tz
Micky :
mkuu naomba namba ya jino
2024-08-08 16:53:17
5
christinesubwanon
Chrisca :
asante baba
2024-08-12 16:00:41
1
ishukwengoy
Ishukwe Ngoy :
kabisa
2024-08-14 18:16:40
1
jolienebayadre
Brigitte :
Aksanti sana baba
2024-08-19 21:34:09
1
djumainiamaniduciel
djumaini Amani du ciel :
Asante
2024-08-12 03:47:49
1
nabintumarielunjw0
Marie Marie Nabintu :
naomba dawa ya uzito
2024-08-14 19:39:22
1
belekumpasi
belekumpasi :
ahsante kaka
2024-10-26 19:47:04
1
user3438759385495
user3438759385495 :
dawa ya bawasiri
2024-08-06 10:49:49
2
moshi4257
Moshi :
Asante sana
2024-08-09 19:35:25
1
kamtawa1
kamtawa :
🥰 wazungu mtuachu tuna tiba zetu asili og
2024-08-09 13:57:08
5
harrietezra
Harriet Ezra :
kwani kutumia janibishi halitoshi ? asante
2024-08-05 16:11:00
1
To see more videos from user @jitibunyumbani02, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About