@official_oneafrica: Give For good charity. Taasisi ya @weasonefrica ikiongozwa na Mkurugenzi wetu Miss @Elizabeth Mshana Tulifanikiwa kufanya matendo ya furaha tuliyoyapa jina la Give For Good Charity ambayo tuliweza kuwatembelea watoto wanaolelewa kwenye kituo Cha Kisarawe orphanage house. kituo hichi kina watoto JUMLA 60, kuanzia umri wa miaka 2-25 jinsia zote, Kinapakitaka kisarawe mwisho Tuliweza kuwapelekea nahitaji ya muhimu ikiwemo chakula, nguo, taulo za kike na vifaa vya shule. Tukapika,Tukala pamoja nao, ulikua wakati nzuri sana kucheza na kuzungumza nao. ungana nasi kwenye Kugusa jamii yetu sehemu mbalimbali nchini Tanzania. join Us 0716 055744 #charity #sgr #tanzania #Love #donation #safety #safari #tourism

We Are One Africa
We Are One Africa
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 August 2024 07:08:27 GMT
203
5
0
3

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @official_oneafrica, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About