@mtumbaenglish_: Ukiacha maswali kama ya “Unajiona wapi baada ya miaka 5?” Maswali ya behavioral na mengine mengi hutakiwi kuyajibu kwenye future, interviewers wanahitaji kusikia zaidi ambacho tayari umefanya kuliko unacho enda kufanya Nambie kwenye comment huwa unajibu maswali ya interview kwenye wakati gani?

mtumbaenglish
mtumbaenglish
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 August 2024 13:01:30 GMT
16469
617
16
25

Music

Download

Comments

mohamedkazema
Moraka :
lakini ningepata mfano wa hicho unachosema ingekuwa vyema sana thanks..
2024-08-09 13:26:56
3
issiket
Thelady3 :
I always say in future: example, if you are employed, what will be your roles in this company? Answer: Thank you for a good question. If employed, I would make sure I first cooperate with the team
2024-08-09 23:08:35
1
ashims88
Ashims :
nahitaji kujua English bora
2024-10-23 10:34:16
2
mohamedluja
Mohamed Luja :
STAR Approach
2024-09-18 21:49:23
0
danielmathias050
danielmathias519 :
Nice
2024-08-23 09:53:54
0
ommykagali
ommykagali :
naitaji kujifunza english
2024-08-31 10:38:21
0
user7415269942836
Vphrence09 :
mtumba unapatikana wapi
2024-08-11 10:33:27
0
peterggoodin1
peterggoodin :
binafsi nafkiri utajibu kwenye future lakini ukiwa una refer kwenye mifano ya mambo uliyowah kufanya inayoendana na swali husika
2024-08-10 02:54:53
1
ashims88
Ashims :
question of interview I answer perst
2024-10-23 10:30:21
0
kush_dollas
Shadow_V$ :
🙄🙄🙄
2024-10-01 09:44:03
0
florafaustine21
florafaustine21 :
🥰
2025-07-11 19:29:47
0
brian.._8
Brian 🌴 :
nyote ni mbwa tu ... na hamna cha kunifanya
2024-08-12 20:26:58
0
losen010
histoire d'amour avec Losen :
vous êtes vraiment intellectuelle
2024-08-09 17:58:34
0
To see more videos from user @mtumbaenglish_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About