@buki_tz: tupe sifa za mapenzi wako ♥️♥️😂😂kenyantiktok🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #trending #coupletrend #nigeria #swahilitiktok #india #swahilitiktok

Buki tz
Buki tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 August 2024 18:32:19 GMT
465039
32431
759
1480

Music

Download

Comments

ummyrahy2
ummy rahy :
swa wimbo fantastic ila hpo kwa kumfta motoni I'm really sorry wcha yy anfate peponi🤣🤣
2024-08-11 05:21:13
59
jazlen_wa_bukitz
JazlenTz :
Hivi huyu kaka Anamke au nijiweke?😅
2024-08-10 18:45:48
44
mozedoer
Mozedoer@ :
oya umetoa hii ngoma kak inaitwaje🔥🔥🔥🔥🔥
2024-08-10 19:13:50
17
sabninah5
Amina Said Mwajefa :
Hapo kwa motoni siendi... Labda yy aje peponi 😅😅😅
2024-08-11 02:44:08
32
nayrah431
@princessnaa28 :
nyimbo ya mahaba nishapata bado mpenzi sasa😢😢
2024-08-15 03:41:08
38
itsmamyy2
Mamy❤️ :
Camera woman ni Jazleen tumeona🥰
2024-08-11 15:18:32
6
mesp_deboss
𝐌𝐞𝐬𝐩 de 𝐛𝐨𝐬𝐬 :
Nani wa kufanana na Mimi Bongo ✅
2024-08-11 03:38:37
5
vacations695
vacations :
We kuma unajua
2024-08-11 18:53:27
8
babaliy_
Baballiy :
True support from kenya 🇰🇪
2024-08-10 20:51:22
9
iqrah1137
Iqrah 🥰😍 :
Diamond,ali kiba, hamornize,marioo hawamuoni huyu kijana jmn anakipaji bhna 🙏
2024-08-11 06:52:04
12
wysek254
Wyse K :
mimi nakukubali sana buki wewe ni favorite musician wangu,, pia naomba uni support kwa mziki wangu,, like ten video please 🙏
2024-08-10 20:44:57
9
kimzyear694
KIMZYEAR SIGNATURE💸 :
Nyieeeee my favorite artist is here again🙌🙌
2024-08-11 06:05:10
6
mushka_fei
Mushka_fei💫 :
ukiachana na haka kawinmbo katam hivi mnamuona huyu mkaka Alivo mzuri 🥰🔥
2024-08-12 06:13:44
3
catherine.yassin
UNIQUE :
anapenda nyimbo za j melody
2024-11-03 15:41:55
0
hamsokimbo
😂KIMBO🤨LAO😂256 :
naomba jina la mziki ❤️
2024-08-24 10:41:51
1
ww_1198
???? :
Itabidi tukukodi kwenye wedding Mzee baba🔥🔥
2024-08-14 08:05:24
1
ummu_maliha
swabz :
wanimaliza🥰🥰🥰🥰
2024-08-16 21:39:38
2
aisha.jamilah.i.b
aisha jamilah ❤️❤️I b :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰mashallah hii wimbo tamu sana
2024-08-25 00:17:00
2
fatumaathumansalim
N'chalika :
inaitwaje hii nyimbo
2024-08-14 11:02:39
1
being._.z.a.h.r.a.n
👑Z•A•H•R•A•N💎 :
braza umeupiga unyama mwingi 👌🔥💥
2024-08-13 05:57:03
2
cutebbygal005
cutebby gal :
umetumaliza na huu wimbo🥰🥰
2024-08-20 15:15:18
2
hurrem5430
Hurrem :
hapo pa motoni itakuwa ngumu
2024-08-20 11:57:13
2
user1971692078818
user1971692078818 :
tayari tuisearch yaitwaje
2024-08-12 13:02:04
1
binkhalid1
Abas Binkhalid :
jina bro👌👌👌aka kawimbo wachana nacho❤❤❤
2024-08-12 18:27:35
2
shinningstar.25
Smiling Machine ☺️ :
Jamani huu ndo wimbo nyie afu sauti tamu 🥰
2024-08-13 07:58:40
2
To see more videos from user @buki_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About