@jitibunyumbani02: Tiba Mbadala Ya Vidonda Vya Tumbo, Acid Reflux Na Maumivu Makali Ya Tumbo Hii Hapa. #magonjwasugu #dawa #Tiba #tibaasili #Afya #tibaasiliakwaafya #Magonjwa #MagonjwaYaKuambukiza #MagonjwaYasiyoYaKuambukiza #vidondavyatumbovinatibika #vidondavyatumbo
JITIBU NYUMBANI
Region: TZ
Saturday 10 August 2024 21:21:40 GMT
Music
Download
Comments
sue paul :
halafu itayeyusha family planning 😅
2024-08-12 10:22:16
8
Alicea :
je naomba kuuliza vidonda vya tumbo huwa vinapanda hadi kifuani na husababisha nakikohozi?
2024-09-25 17:50:19
8
Happyness Buswelu :
inasaidia ha acid yan nimesha teseka sana na maumivu ya koon nijbu plz
2024-10-07 09:41:06
14
lady vee :
hii dawa ni kiboko inatibu mpk amweba
2024-08-12 15:16:03
14
Dorie cute :
ongea haraka 🏥 mm hapa tumbo hoi vidonda km vyote
2024-10-11 09:37:48
16
G.wangeci :
nauliza mimi naumia Acid na maumifu.kitu kinakwama kwa koo na na misuli ya shingo hadi juu ya titi mara nikama kifua
2024-09-30 13:23:57
5
Zuri :
Amazing herbs km unataka kukonda tumia hii kitu..yn ni chap😅
2024-08-13 06:51:25
27
Lizkario :
on empty stomach utaumwa .you should take a meal before
2024-08-13 19:15:51
5
Abby :
daw nzuri sana ila inapunguza kilo atari
2024-08-20 21:01:22
11
Emanuel wakawenga :
hivi kuna dawa ya sikosell
2024-08-30 09:42:51
5
Janeth J :
Asante, nachemsha majani mangapi, na maji kiasi gani?
2024-08-13 20:17:18
5
warid :
ushuhudaaaaaa yaani ni mujarab shida ya tumbo inaishaa kabisa na kupunguza weight haraka sana
2024-08-15 09:31:54
9
Kim :
I can testify guava leafs haibahatishi
2024-08-31 12:46:22
7
atuclassicwear :
Nilitumia recler gel na omeprazole ila sasa nimekuja kugundua ilikuwa ni ujauzito pia ulichangia
2025-09-03 16:54:11
1
Resinath Respikius :
je vidonda vya tumbo linapelekea mwil kuwaka moto
2025-09-04 21:23:03
0
Azimbo Furniture :
asante sana Mwenyezi akulipe
2024-08-18 03:59:25
5
sallyboe_369 :
naomba niulize je vidonda vya tumbo vinasababisha mikono kuwaka moto
2025-06-03 11:00:23
0
Lenahmwanga :
unazunguka sana na wewe chaaa!!! mganga gani mbona husaidii sasa
2025-03-19 17:12:33
4
Loveness👑🫦 :
what about gastrities
2024-08-14 19:19:34
3
user80219444933884 :
mwenye plesha ya kupnda na uvimbe anaweza kutumia?
2024-08-24 20:24:33
3
Joyful lips :
kwanini kila ninapoamka asubuhi napata maumivu ya tumbo
2024-10-22 09:03:22
2
Kavugho Gisèle :
nauliza n'a kwa mtoto wa miaka mbili
2024-10-24 17:06:31
0
user28359755281143 :
asantee inaniletea mabadiliko
2024-10-01 18:22:55
0
user5813038325461 :
mimi nailizia dawa ya kutoa hedhi iliyokwama miezi kadha plz
2024-08-11 22:15:58
4
kasimu mzee :
ninachangamoto ya kooni nikimeza mate kooni mwanzoni palipootea ulimi mate yanapita kwashida yani ninaisi kukabwa
2024-10-25 06:59:57
3
To see more videos from user @jitibunyumbani02, please go to the Tikwm
homepage.