@manofgod377: Kwasababu ya zinaa Kila mwanamke na awe na mke wake mwenyewe na Mwanamke awe na Mume wake mwenyewe

Man of God
Man of God
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 August 2024 10:33:53 GMT
314313
5777
72
1318

Music

Download

Comments

tanzanice2
Tanzanice,,, :
Mkuu hivi mimi ni fyeje nisiwe mdhambi tena,?
2024-08-28 22:19:34
2
mamaaaa188
user7849820407661 :
endelea please 🙏
2024-08-16 10:14:46
1
danielrillo3
riil DN @$ :
Asante
2024-09-10 10:19:48
0
danielrillo3
riil DN @$ :
Asante
2024-09-10 10:19:48
0
mildredkenyanzwa
mildredkenyanzwa :
Amen in Jesus name
2024-09-09 15:08:09
0
amos11499
amos :
Amen and amen
2024-08-28 20:09:38
0
rosetemba97
Rose Temba :
Mungu naomba unisaidie niwe na mume wangu pekee niepuke zinaa😢
2024-08-13 13:34:16
14
drdigo8
Dr DIGO :
biblia ndo kitabu chamungu cha haki na cha kweli, Ameeee
2024-08-16 09:21:11
6
mildredkenyanzwa
mildredkenyanzwa :
Amen in Jesus name
2024-09-09 15:08:09
0
user3714405973057
simple-gal :
ewe mungu wangu naomba unisaidie nikaweze kupata mume wangu mwenyewe 🙏🙏🙏🙏
2024-08-20 19:43:59
4
user5002630095963
janhviva❤❤❤ :
haya waislam wake wa 4 kishelia hivu mung wa kwer yupo wqp nashindwa niende wap
2024-09-01 21:57:49
2
user30399428832326
Clara :
Ni heri awe na mke wake na sio wake zake☝️☝️☝️sasa hizi mbuzi zinapata wapi ujasiri wa kuwa na wanawake wengi.
2024-08-17 12:22:38
3
happy.samiat
happy 😊😊 :
Mimi nimesoma Hadi chini
2024-08-15 23:02:31
1
deborahnyevu
Hawe Dyy :
kitabu gani
2024-08-17 15:55:56
0
mocrine5
mocrine :
apo kuna mpumbavu anakwambia nipe haki yangu na ajakuoa,na mpumbavu wa pili anatiii kwa uwoga wa kuachwaaa😏
2024-09-28 03:36:22
1
sabina.wavua
eunice marura :
amen Amen 🙏
2024-09-09 17:56:55
2
thebidus
thebidus :
mim nahisi maneno ya biblia yanabaki kwa biblia hatuyafanyii kazi kabisa.
2024-09-04 05:03:36
1
firdaushamady
Firdaus Hamady :
mungu naomba unipe mume mwema
2024-08-20 19:29:31
1
sizzla428
Sizzlamike486 :
kuna wenye wako kwa ndoa na wananyimwa haki zao😃
2024-08-18 07:53:54
1
user99827687409053
Mary :
Sasa hii ng'ombe haisomi biblia ama mbona inabadilisha sana wanawake😭😭
2024-08-18 07:26:07
1
peace09081
maa dii :
amen ni heri kukubaki bila
2024-08-17 22:09:23
1
user850599280166
user850599280166 fanni's mary :
amen
2024-08-16 22:16:04
1
user33450938005321
babaetyu julius :
aminaaa
2024-08-16 19:59:08
1
sadikiflozy20
𝐒𝐚𝐝𝐢𝐤𝐢𝐅𝐥𝐨𝐳𝐲🎶 :
zinaa ♥️💚
2024-08-13 18:13:54
1
puritydejo
purity de cute :
zinaaa ndo imetapaka na ndo imekua fashion 😭
2024-08-13 18:09:42
1
To see more videos from user @manofgod377, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About