@hubofwisdom.inc: “Mimi sichangi harusi ya mtu yoyote.” #falsafa ya #mwanafa “Kwanini utuchangishe woote kama sisi wote tunaenda kuoa?.”

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 August 2024 19:02:56 GMT
481866
17652
340
2590

Music

Download

Comments

lostonu23
Adija Mkenya :
I totally agree with him!
2024-08-15 06:20:56
64
babajei1
Jaffar El Wara :
Mimi hata msiba sichangi
2024-08-15 11:01:16
23
alimakopa3
alimakopa3 :
true atuwezi nunulia mtu kuma
2024-08-15 16:42:58
32
wardaofficial.gmail.com
warda official :
alilala na bibi harusi siku moja baada ya harusi
2024-08-18 04:21:37
6
gilbertooogopa
CBF Gilbert'oo Ogopa🤟 :
bado. nipo. nipo. is the answer 👌🔥
2024-08-15 17:21:22
10
adarshkaso
Sea Eater :
from today sichangii bash harusi thanks for your reminder 😊
2024-08-15 09:15:23
16
emmanuel.simon04
Emmanuel (SB) :
siku mwanao akikupa kadi ya mchango ndo utajua kwa nini Kuna leo na kesho
2024-08-15 06:18:26
11
redhunter882
RED HUNTER :
big up kuoa garama wengine wasemavyo ...mbona baada harusi hualikwi kuonja mke kma mzuri au la c nimetoa pesa 😂😂😂😂
2024-08-15 08:42:04
5
davidedward212
David Edward :
unaweza ongea kitu ili uonekane upo na facts,ila kiukwel kuchangiana kuna leta watu kuwa pamoja katika matukio mbalmbali so kuna umuhimu ila sio lazma
2024-09-14 22:30:44
6
mangarajohn
mangarajohn :
mimi mwenyewe sichangi arusi nakumbuka nilichanga arusi ya dada yangu miaka 5 iliyopita mpaka leo ela yangu bado naikumbuka😂😂😂
2024-08-19 09:37:38
13
ozilmabati
KING POWER MABATI :
on point
2024-08-15 10:12:13
9
just_shishi11
coco🌹 :
Hujakutana na wa kuchangiwa birthday 😂😂😂
2024-08-15 22:53:52
14
2025ayalnohrashid0
Lawrenza victory vibes :
mke ni wako sio wetu
2024-08-14 20:01:22
20
user9484184blackmtengwa
Black mtengwa :
on point bro
2024-08-15 12:32:57
5
26joker_
Wiz_Joker :
point haina mashiko, kutoa mchango ni kama kushow love tu
2024-08-16 00:27:06
9
ibraphotograpy
IBRA PHOTOGRAPHY..📸 :
uko sahihi broo
2024-08-15 02:33:07
5
dr.bonteh
dr.bonteh :
mimi harusi nitachanga kama ntakuwa na share kwa mkeo😁😊
2024-08-15 19:49:41
5
peterbest8
3D ELECTRONICS SOUNDS :
true kabisa
2024-08-14 20:44:26
5
sixvenom59
venom :
ila bro .... unasema ukweli....am in love with your statement aki
2024-08-15 18:39:42
7
user5092985965255
Kawira mung'athia :
sasa wewe ni rafiki yangu🤣🤣
2024-08-31 19:21:00
3
nyoniempire1
NYONI MOBILE TECH :
Boss himself
2025-01-30 01:18:22
3
clizzgrafix
clizzgrafix :
TRUE
2024-08-20 06:32:04
3
wizah5
DON MENDEZ :
Mbona unachanga sana alafu unakuja kutudanganya mbele ya camera ndo sisi tusichange tuonekane wabaya sio😂
2024-10-09 03:29:47
3
bintimaneno
Parineet 💘 :
weka akiba ya maneno komwe lako
2024-08-17 18:17:40
3
user3170448530588
@dorcasmeemes :
siku hizi hadi mahari wanachangiza
2024-08-29 22:41:08
3
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About