@nairobi_juice: Tom Daktari injecting facts - "Your work colleagues are not your friends! 🎥: Tom Daktari #nairobijuice #nairobitiktokers #trendingkenya🇰🇪
😂😂Hakuna ata mwenye atakupigia kujua kama ulipata kazi ingine
2024-08-15 08:43:02
368
___am_Imran :
c kazi pekee ata jirani ukihama n ivo, classmate mkimada chuo ni ivo, friends are not siblings n friendship wasn't meant to last forever, you constantly make new ones at diff stages in life
2024-08-17 14:20:00
80
TesoLonian 💕 :
What of those who are dating ??
2024-08-15 08:29:50
42
Njenga♡Margaret ♡ :
Me at work and 'accidentally' watching this on high volume😂😂😁
2024-10-29 08:25:27
20
Tricia🍃 :
kwanza schoolmates wa campus 💔😂😂😂
2024-10-19 03:52:20
28
Derroh_Kim :
go work get paid go home period
2024-08-15 15:53:15
55
machine hobbyist stano :
this comedian speaks the facts lakini anacheka unawezathani ni jokes.mimi ilinifanyikia hivyo nikadhani nikathani workmates wangu ndio fake
2024-10-12 00:52:06
6
AlmaKabon :
mine became family. I got laid off, they helped me get a job.
2024-08-15 08:15:48
34
tHe last Slinnetto :
FRIENDS WHO BECAME ENEMIES😂😂
2024-08-15 07:41:34
33
rhoyltroy :
ni ukweli by the way speaking from experience
2024-08-15 08:15:40
39
lucil 🦋 :
umesema when your farming there is no fam 😂😂😂😂💔
2024-10-15 11:38:10
5
queen momaa :
aaaai kwani watu hawakulearn na shule ....kila MTU alienda njia yake
2024-08-15 09:58:32
77
Dalaziii :
💯Waambie enda kazi fanya kazi lipwa mshahara enda kwako.
2024-08-15 08:30:29
19
Kate's Super Carpets :
🤣🤣🤣🤣Acha tu nicheke tondu maaaaa,niukweli.Ebu mnilikie juu nimepitia hii .
2024-08-15 12:02:13
7
@immaculate :
Na ukiwapigia hawatachua Simu juu wanadhani unataka kuwakopa😅
2024-08-15 12:50:40
47
SAM :
It works well kwa watu wako gulf ...ukirudi Kenya urafiki imeisha immediately
2024-08-15 11:46:35
18
Miyale Fabricators Ke :
kwanza ikifika ati mnapelekana kwa pombe after kulipwo wewe wisha...saa hii naregret
2024-08-15 10:49:46
8
zuyder_cursy :
alafu pia there's no love at work😂😂repeat after me