@nabeel.elshabbaz: #tiktoktanzania🇹🇿 #swahilimotivation1 #swahilitiktok #zongatz

Young Freelancer
Young Freelancer
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 August 2024 14:51:17 GMT
329618
28757
485
1828

Music

Download

Comments

timothzabron52
@timothzabron✅️ :
unaweza ukaachwa ukiwa msibani unalia huku unaliaa....
2024-08-15 22:36:07
172
aysherjoseph25
Aysher :
Natamani niweze kumsahau jmn nisaidieni😔😔
2024-08-16 09:01:52
12
tsyour_gurl
tsyour_gurl🦋 :
Hakikisha ukiachwa uwe na backup ya kutosha maana mpk kuachan ujue kuna viishara hapo 😂😂😂😂😂ohooo💔
2024-09-13 18:01:05
0
leader_dan_ojoro
Danrich Ojoro :
mimi nilishawai kumuacha mtu uku ninaumia Mimi. Kuna point unajikuta kuendelea ni maumivu, kuondoka napo ni maumivu..
2024-08-16 05:50:04
84
hussenyally255
HUSSEIN ALLY✍️ :
😎MARANYINGI FURAHA TUNAZO ZITEGEMEA NDO ZINAZO TUUMIZA SIJU KWANINI🫴❤️‍🩹
2024-08-15 21:22:40
49
tundaemanuel6
tundaemanuel376 :
Mimi naona anaesema basi huwa anaumia zaid asee nilijalibu nilijikut ICU
2024-08-15 19:05:18
50
mrpiraa93
Mr Pirrah :
hii kitu niliwahi kupitia aiseeeeh 2022 mwishoni sitasahau maisha yangu niliachwa wakati bado nahitaji 😭
2024-08-16 11:50:21
9
suzanshusband14
Samwel G Makandii :
Mim niliachwa kisa nilijipakulia chakula mwenywe 😭😭😭😭😭
2024-08-15 23:10:37
14
benedictnjau
Benedict NJau :
Hahaha Mwamba Hongera kwakuishinda hiyo vita ningumu kushindana na moyo wako mwenyewe but aliyetuumba hajatuambia hiyo nguvu na nafasi IPO yakurecover Bravo Comrade
2024-09-12 13:58:48
0
livinmajuu
MANYOTTA MOTARS :
acheni jamani nimekoma kuacha hovyo na nimeachwa maumivu yake asikuambie mtu ni wakati mgumu sana
2024-08-16 09:36:44
18
jay.fronty.phone
Jay phone :
Daah😢😢 unaweza ukaachwa kisa ujamsifia mpenz wako 🥺🥺
2024-08-15 17:25:23
56
diana05244
Diana :
Inauma ila kwangu haikuchukua mda nikakubali aende
2024-08-15 18:51:45
13
steve_designer16
ntola862 :
Mwenye chenji ya elfu kumi anisaidie
2024-08-17 20:17:12
21
castongonyani
Esther :
single mpo wap tukajinyonge
2024-08-18 17:40:32
7
lucasrobert2911
LucasRobert2911 :
ndugu yetu ally naona uyo demu aliekupiga ilo tukio ulkuw unapenda sanaa
2024-08-16 19:46:46
22
uservee_stylish
Vee_stylish :
usha wahi kuacha wewe??? inauma kuacha huku bado unapenda yaani huna chaguo kuacha maumivu kubaki maumivu kiufupi huelewi 😢😢😢
2024-08-15 21:32:56
6
cazzyvilaa
Dennis seggy :
tena uachwe na ntu mfupi oyaa maumivu yake wee acha2 😆
2024-08-17 14:06:23
5
shilanspl4
shilah Nspl🇹🇿🇹🇿🤑🤑🤑 :
huy awe msemaji wa mapenz sio nyuma mbele mwiko nyuma daima
2024-08-16 08:54:24
5
rosemary.msofe
Rosemary Msofe :
kiukweli inaumiza sana bora mtu afe utaumia lakini unapata faraja kwamba kazi ya Mungu haina makosa,,ila yupo na yupo na mtu mwingine da so painful
2024-08-16 08:13:28
3
mtu.pori56
kaka Adam 🇹🇿🇬🇧🇬🇧 :
exactly huwa inatafakarisha sana but ndiyo unakuwa umeisha achwa
2024-08-15 21:04:02
16
kichimamy
Kichimamy 🦋😍 :
nataman mtu anikumbatie anipe moyo😔
2024-08-17 20:51:49
4
normskandonga
norms kandonga🥰🥰 :
MIMI NIMESHAPONA BROH , ety c kimejiludisha buana acha nimfurahishe sas😁😁😁😁😁
2024-08-16 15:06:56
2
cjeweleryandaccesorries
C.JEWELERY AND ACCESSORIES :
fact bro
2024-08-15 19:56:44
8
mr.m.j.d
puppy_nation,🤫 :
fact sana
2024-08-15 16:46:15
8
patriciasosy
cute eyes👀🦋 :
tukiachn na yang kun md unaongea vitu vy maan san😥😥
2024-08-16 04:58:52
6
To see more videos from user @nabeel.elshabbaz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About