@mkalimani_og3: #MAANINA walai sema mwanangu @najim_vitambaa_ Nyi Wahuni Sana Yani Kadi Ya M2 mmoja Mumefisi kuingia wote duh! Sio poa wanangu 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣

Mkalimani Og
Mkalimani Og
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 August 2024 07:24:34 GMT
130627
5973
115
388

Music

Download

Comments

zainabjiiy04
Miss zuuh🎀 :
kigambon ferry gather here😂
2024-08-22 16:19:41
1
artozil
ArtoziL :
chuma iyo 😁😁😂😂
2024-08-20 14:10:30
1
dul_quoter
millor TZ :
respect 💯
2024-08-19 04:56:43
1
user6838010752681
famimute :
Tunauza miswaki used
2024-08-22 10:43:08
0
felixlaly
felixcosmas207 :
ila aviator
2024-08-20 10:04:21
0
chusse_13
CHUSSE_13💜🇹🇿 :
Mimi ndo gentlemen Tz nzima😁😅
2024-08-19 18:46:31
0
wapekeemajaliwa1
WAPEKEE MAJALIWA :
mimi ndo Msoma comment Tz nzima
2024-08-20 08:18:40
0
andrew_aman
andrew_aman :
🤣🤣🤣 watu wa kigamboni wana mambo mengi
2024-08-18 12:11:46
29
jay_quick75
Jay Quick75 :
kumbe hadi mambele nina familia,, unyam san 🔥🤣🤣🤣
2024-08-18 20:01:11
22
user6310402662382
Ramanho :
huyu wa nyuma alijiamin nini
2024-08-19 08:46:44
8
wizy_boy69
Shedrack Poul :
hiyo inaitwa moja kwa zote😁😁😁
2024-08-18 09:39:47
7
mastory___
david son👑 :
kigamboni bhana nilifungua tyu ivi nikashanga wameingia kumi🤣🤣
2024-08-18 17:19:19
18
k.n.l.3
Kinyele :
vijana wa havyo kabisa 😂
2024-08-18 21:44:27
5
dandijck
dan dick :
yan pale kivukon kungekua hamna walinzi🤣🤣🤣🤣🤣
2024-08-19 07:58:55
4
officiallrhma
Officiall-rahma :
Wakazi wa kigamboni 😂😂😂
2024-08-21 09:17:46
2
official_sideboy
Official_Sideboy :
angalia mpka mwisho acha kihehere kuja kwenye comment😂😂😂😂😂
2024-08-18 22:01:34
3
khamicy.samicy
@stan🗨 :
:ila wanawake na helaa🙌🙌🙌
2024-08-20 10:13:59
1
mr.kamala.one9
𝔪𝔯_. 𝔣²𝔨𝔦𝔷𝔷𝔶™ :
jna najim kama hzi ndo harakat zao lazm nitoe jna kwa mwanang wa kwanza..
2024-08-19 19:40:22
1
humble_boy_45
HUMBLE BOY :
side alitaka kubak
2024-08-22 16:57:45
0
usermiss_sarah
Miss-sarah :
Nikajua Tazania tu😂😂😂😂
2024-08-19 11:56:47
1
director_sue
Sue Stylish Hub :
Kalipia mmoja wameingia Mia 🤣🤣🤣🤣
2024-08-22 16:41:45
0
ngassathegreet
ngassa The great :
😂😂😂😂😂 hii imeenda
2024-08-18 10:26:24
1
black.pundit
Black Pundit :
moja kwa mia 😂😂😂😂😂😂
2024-08-18 09:49:53
1
comfortmboma
comfortmboma :
uyo moja alikuwa anataka kuzingua😂😂😂
2024-08-22 15:50:56
0
comfortmboma
comfortmboma :
kigamboni moja
2024-08-22 15:49:14
0
To see more videos from user @mkalimani_og3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About