@official.meddy: Raia No.1 nchini Tanznaia, Mh. Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿 1 Mama Samia Suluhu Hassan. Amiri jeshi mkuu na mwenyekiti wa ccm Tanzania 🇹🇿. Wewe ni wa thamani kwenye nchi yetu na taifa Letu linakutegemea. Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿🇹🇿 #CapCut #ccm #samiasuluhuhassan😍❤🇹🇿