@shaaban_b.omar: Bravo Bro.

Baba Haleema
Baba Haleema
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 August 2024 17:28:16 GMT
36343
1395
115
400

Music

Download

Comments

jozee_mdox
Jozee mdox. :
Father Bahati my Lecture ur always in truth facts
2024-08-25 17:56:47
1
sirnuhu
yotememanuhu :
THE BEST TALKS OF THE YEAR
2024-08-25 17:57:58
0
kasake.alex
KASAKE ALEX :
perfect
2024-08-25 18:29:38
0
masudihamisi917
Masudi Hamisi :
good priest am with you braza
2024-08-25 15:37:52
1
kitumba96....0716868696
kitumba96 :
im Muslim bat u made it brooooo may God b with u long live mtumishi Allah akubariki sana
2024-08-25 06:15:49
9
peter.khoun
Peter Khoun :
fact bro,just a bravo.
2024-08-25 07:09:22
2
rashidjuma605
Rashid Juma :
sisi ni waafrika na afrika ni nyumbani kwetu. si vyema kusema huyu hapa mkristo au huyu hapa muislam anayejitambua. hii pia inakua kama disunity.
2024-08-25 08:29:09
10
protect_justice
Protect_Justice :
Haraf kuna president anajiita ni mama yetu wakati hayo yote yanayo ongelewa, ushoga hakemei.🤣🤣🤣🤣
2024-08-24 22:25:38
8
user5321610225136
user5321610225136 :
Tatizo lilianzia mkutano wa Beijing na kuridhia mikataba, mvulana akifanya ngono na msichana miaka 30 jela, sasa wasijana wanajiuza beach wavulana wanageuzana, mpango wa new world order umafanikiwa
2024-08-24 19:05:20
5
bless_son3
bless_son3 :
wengine hawajitambui??
2024-08-25 04:28:46
2
rojamo40
user9334904479499 :
Tulikopotelea ni pale tulipo acha mila zetu tukafwata tamaduni za watu wengine. unamtaili kitoto kichanga hata anapokuwa hajui thamani na kazi yake
2024-08-25 14:48:10
3
hasandadi340
Hasan Dadi340 :
Baba Haleema nakukubali sana natamani siku Moja nikutane na wewe
2024-08-25 15:17:46
2
user2066081525550
user2066081525550 :
akili kubwa sna utabalkiwa na sisi tunamwomba Mungu atupe akili na maarfa yakusmamia watto wetu
2024-08-25 10:52:09
3
user2296652952835
frankmkome :
ndugu yangu hongera sana kwa kukemea hili tatizo la ushoga kikubwa sisi wa baba ulivyosema tulee watt wetu siyo vizuri mtoto kuwa shoga mungu akubalik
2024-08-25 05:26:58
4
goteshnyura
Gotesh :
fact aisee umepiga mule mule
2024-08-25 14:10:02
1
shija1010
shija1010 :
upo sawa sanaaaa mungu akubaliki
2024-08-25 13:56:15
1
stevenbiita
Steven biita :
aisee, kwa ulivo hubir naweza lirudia kanisa nililosali sasa!
2024-08-24 20:15:43
4
doublejtz
Johaness Tz :
Amina🙏🙏🙏
2024-08-25 13:43:11
1
sia4665
sia :
MUNGU tunusuru
2024-08-25 13:06:25
1
abdallahibrahimmw7
abdallahibrahimmw7 :
shuqraan mwalimu Allah akujaalie juhud na ujasiri huu uzid kutuelimisha wazazi na watoto, kwakweli tumeghafilika sana kuyasimamia maadili mema
2024-08-25 13:04:53
1
aristidiatanasi
aristidiatanasi :
ngojaboss wako papa akusikie
2024-08-25 12:43:32
1
ney12105
Ney121 :
tupunguze ubize turudi kulea,mara nyingi tunashtuka mtoto anajisaidia haja kubwa.Mungu atusaidie kwa kweli.
2024-08-25 12:07:13
1
ney12105
Ney121 :
Daaaa,tulio na watoti wa kiume tunawakati mgumu sana kwenye malezi,tujitahidi akina mama kukagua nguo za ndani za watoti wetu,tupunguze ubize,tunatafuta pesa kwaajili ya nani,tupunguze ubize tujikite
2024-08-25 12:05:27
1
hendrytarimo177
hendrytarimo177 :
jamani tunapataje hizi vd A,Z?
2024-08-25 12:03:19
1
japharyjuma1
Real man :
nimesikia neno kuntu (ujasiriadini) lugha imenyooka sana
2024-08-24 19:05:12
3
To see more videos from user @shaaban_b.omar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About