@zabronsingers: Tunawashukuru kwa umoja na upendo ambao mmeendelea kutuonesha familia ya Zabron singers hatuna cha kuwalipa zaidi ya kusema Mungu atawalipa 🙏🏽 Pia tunapenda kuwapa taarifa kesho tarehe 25 /8/2024 Tutarusha tukio live la kumuaga mwanafamilia mwenzetu kupitia YouTube channel yetu na Instagram kuanzia saa 2 asubuhi asanteni na Mungu awabariki 🙏🏽 @Japhet Zabron #Wordgospellove#wordgospellove #wordgospellove

zabronsingers
zabronsingers
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 August 2024 20:42:47 GMT
39605
713
29
6

Music

Download

Comments

estherjohn3875
Hadassah John❤️ :
from Kenya 🇰🇪 receive our condolences 🙏
2024-08-24 21:03:04
7
sirkenomondi
_.Kene :
Lala salama ndugu Marco Joseph shujaa wetu 😭😭
2024-08-24 21:04:06
3
mariaeve73
미련 :
poleni sana kundi ra zabroni singeres mungu awe nanyi katika kipindi hiki kigumu
2024-08-25 10:36:04
3
dianneishalove
dianneishalove :
My condolences
2024-08-27 12:46:40
1
user523752459496
millie :
Poleni Sana
2024-08-26 18:57:31
1
seni.masunga
Seni Masunga :
amina
2025-09-08 19:43:35
0
pillysadicky
NGUO KITONGA 📞🤗 :
❤❤
2025-01-12 19:38:30
0
user1078140226176
0678312890 :
🥰🥰🥰
2024-11-24 17:02:25
0
evelyn.19976
God's daughter ❤️ :
Rip bro
2024-10-15 13:40:51
0
naom6972
Bobby'sgal Bobby :
rest in peace ndugu Marco 😭😭😭😭
2024-09-06 05:22:53
0
003sidikanazi
@Sidi :
Mwenyezi Mungu azidi kuwapa nguvu
2024-08-30 17:03:41
0
kelvinmoon300
kelvin moon :
Pokea rambirambi zetu kutoka Kenya, kwa familia nzima, jamaa na marafiki wake Marco Joseph, may his soul rest in peace
2024-08-29 07:59:01
0
peacejunior687
Peace Junior :
Poleni sana
2024-08-28 14:33:43
0
winniejoulie
🎙️Winnie Joulie :
Jamani hii inaumiza sana😭😭
2024-08-28 12:14:16
0
abery47
abery47 :
hakika safari ni yetu sote ni kama ndoto mbn
2024-08-26 19:54:52
0
ngwanikalla0
immah ⚡ :
polen kwa msiba mzito
2024-08-26 18:43:52
0
oseboy17
THE SMART CHICKEN DEALERS :
poleni sana wapendwa
2024-08-26 18:42:25
0
wangila.bonface
Wangila Bonface :
poleni sana
2024-08-26 15:02:12
0
amegah272
Amegah :
@Amegah:JESUS IS GOD..... JESUS IS GOD JESUS IS GOD JESUS IS GOD JESUS IS GOD ... BELIEVE JESUS NOW HE WILL SAVE YOUR LIFE..... I LOVE JESUS!!...
2024-08-26 14:20:23
0
vido.boy09
David Speratus :
poleni sana
2024-08-26 09:05:05
0
nancykemmy60
@kemmy60 :
poleni Sana wenzetu. Mungu anajua.
2024-08-25 23:32:37
0
binti_malinganya
Matty🥰 :
poleni sana, mwenyezi Mungu awafariji 🙏
2024-08-25 20:10:49
0
rissymaina12
Rissy💓🤩🇰🇪🇬🇧 :
heartfelt condolences
2024-08-25 18:51:46
0
kitsacalebgmail.com
kitsacalebgmail.com :
pole Sana kwa familia
2024-08-25 15:42:26
0
solangemusingo
solangemusingo :
Repose en paix
2024-08-25 15:32:08
0
To see more videos from user @zabronsingers, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About