@nickshabokajr: UNAPOPITIA USALITI, FANYA YAFUATAYO. 1. USIIGIZE KUWA HUJAUMIA, ILI KUONEKANA IMARA, KUFANYA HIVYO NI KUCHELEWESHA MCHAKATO WA UPONYAJI. 2. USIJIHUKUMU KWAMBA LABDA NI WEWE UMESABABISHA, KILA MWANADAMU ANA UHURU WA KUFANYA MAAMUZI. NA HATA MUNGU AMETUPA UHURU WA KUCHAGUA UZIMA AU MAUTI. 3. USIJIDHARAU NA KUJITOA THAMANI, HIYO NI KUJIADHIBU KWA KOSA LA MTU MWINGINE. UNAACHA KULA, UNAACHA KUVAA, UNAACHA KUJIPAMBA, UNAACHA KAZI. 4. RUDISHA FOCUS KWAKO, JIPENDE, JIKUBALI, JIHUDUMIE, JI-SPOIL, JIFANYIE MAMBO MEMA, KWA SABABU MAISHA YANAPASWA KUENDELEA HATA BILA MTU MWINGINE. 5. KIPINDI CHA USALITI NI MCHAKATO WENYE HATUA MBALI MBALI, USIHARAKISHE SAFARI, KWANZA KUNA MSHTUKUTO, KUTOKUAMINI, KUKATAA UKWELI, HASIRA, MAJUTO, 6. JILETE KARIBU NA MUNGU, SHIRIKI IBADA, ITAKUSAIDIA YOUR SANITY, USIMKASIRIKIE MUNGU KWANI SIO YEYE ALIYEKUSALITI. 7. JIEPUSHE NA VISASI, HAVINA MWISHO MZURI. SIO KIPINDI CHEPESI LAKINI KINAVUKIKA, JIPE MUDA. UTAKUWA SAWA. LIKE, COMMENT, SHARE NA FOLLOW ACCOUNT HII KWA VIDEO NZURI ZAIDI. -Apostle Nick Shaboka Jr #madhabahuyamoto #0755311004

Nick Shaboka Jr
Nick Shaboka Jr
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 August 2024 12:52:55 GMT
40612
2890
177
256

Music

Download

Comments

user4728575256374eva
Eva :
amen amen 🙏🙏 be blessed
2024-08-28 13:51:57
1
la_mama440
user273471501513 :
Thanks
2024-08-29 18:49:21
0
m.kandiee
m.kandiee :
thanks Amen
2024-08-28 23:53:42
0
pascalina.naman
Pascalina Naman :
am grateful 🙏🙏
2024-08-29 19:10:06
0
michkips
Mich Kips Ngeri ye Lmomai :
Thank you
2024-08-29 18:37:40
0
rehema.rehemamgen
Rehema Rehemamgeni :
asante
2024-08-29 13:49:49
0
essayeslaahkagony
#osiepe❤️siaya# :
Ameeeeeeeen pst nko proud because of you and mum pst❤️❤️lwas stress bt mahubiri yenyu imenifurahisha kila wakati nkaa hpo, be blessings every time 🙏🙏
2024-08-29 10:54:31
0
beyondbeauty_salon
beyondbeauty_salon :
thnx dea
2024-08-29 08:48:32
0
23michael2023
23michael2023 :
point home
2024-08-29 04:56:20
0
dadysgayl
Dadys Gyl :
Thanks alot am grateful 🙏
2024-08-29 09:34:09
0
munezeroasha
Bby :
Dah Bro This One 🥺🥺U killed It 🙌🏻
2024-08-28 17:29:27
0
clo365
Claudia Lusewa :
🤗🤗💪💪Very powerful Be Blessed
2024-08-29 07:46:29
0
baraka442
V I P BARBER SHOP :
Appriciet
2024-08-29 00:04:23
0
neemaemmanuel9
Neema Emmanuel9 :
Am happy to hear this today thank you a lot
2024-08-28 19:36:16
0
user6008799849740
🌹... :
asante
2024-08-29 04:25:00
0
surbustian
ANNIE :
thank you
2024-08-28 19:42:20
0
devothamkalawa
devothamkalawa :
point🥰
2024-08-28 18:59:02
0
user7842171476794
NCHAMA :
good point
2024-08-28 19:38:03
0
user_mamake
user_mamake :
ahsante God bless 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏
2024-08-29 07:09:06
0
bai_chini
baichini7 :
thnxs bro
2024-08-29 04:24:51
0
user4927427431728
user4927427431728 :
thanks
2024-08-28 19:27:12
0
swafia10
mtoto half-caste ❤❤💖 :
true 🥰🥰
2024-08-28 20:01:28
0
nayma_mo94
nayma_mo94 :
🙏🙏Big Amen
2024-08-28 16:53:51
0
aishabaruti19
Aishabaruti19 :
nice
2024-08-28 18:46:10
0
To see more videos from user @nickshabokajr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About