@tradervany: Pale trader unapokumbuka umesahau kuweka stoploss😂😂🙌🏽 . . . #tiktokswahili #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #forex #priceaction #forextrader #fyp #foryoupage #forexmemes #forexforbeginners

Trader vany
Trader vany
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 August 2024 12:07:03 GMT
25500
613
64
12

Music

Download

Comments

son.v75s
son 🃏 :
😂😂😂 mwanangu naona umegoma kabisa kuweka MT5 Kwenye simu.
2024-09-06 14:14:50
0
yoshah
kijukuu cha forex🎱 :
jamaa la kishua hili😂😂😂 anyways ni utani
2024-08-29 18:00:29
1
kt.k52
kt k :
kka bora usahau kuvaa nguo ila syo iyo kitu asee inaeza. ikakufanyia mambo mabaya
2024-10-26 12:25:56
0
iam_igorparker
iam_igorparker :
alaf pair ikawa ni Xauusd 😂😂😂
2024-08-29 17:40:44
5
user53385324524075
user53385324524075 :
mmi apo ningeongeza na mayowe juu
2024-08-29 18:00:39
2
josechengula
Joseph chengula :
ivi unakumbukaje kua umesahau 😁😁
2024-08-30 12:27:40
1
heic_kimpo
men :
alafu umeeka 1 lot😂😂
2024-08-29 13:11:10
1
lemonadeh0
Lemo Nadeh :
hahaha
2024-08-29 12:15:48
1
To see more videos from user @tradervany, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About