Kumbe ndio maana DM zangu hujibu kumbe tatizo ni kitabu
2024-08-30 07:16:19
105
ivy..88 :
Me on the way on google searching ANGANILE MWAKAJWAGA 🥺
2024-08-30 03:59:47
63
delila :*samsoni wife :
Thabo bester,, muuaji south Africa
2025-06-24 19:21:39
7
chinachina🇨🇳🇹🇿 :
Shoga Angu story zako zimetrend uko fb hasa ya mjomba pdid 😂😂😂😂
2024-09-27 11:39:10
18
cherrykitchen_singida :
Huku singida kuna thabobester mmoja huyo n mwongo na mtu hatar sana weeee🙌🏼
2024-08-31 05:01:11
27
By.marion_ :
Where do I find the book dear?
2024-09-01 04:00:04
6
vinijr :
haya naitwa kevoo mkanitafte Google😅
2024-08-29 20:40:37
33
Gracie cemre 20🌺 :
kwanza any man anayekuja na ahadi nyingi ni 🚩🚩
2024-08-30 08:04:02
36
niah❣️ :
Waizer asante ila hivi majina ya hawa wanaume wa kibongo yapo kwemye gugo sasa hata?
2024-08-29 16:38:51
26
MZAZI77🌳 :
Ebu search 🔍 MWIJAKU chap😏
2025-06-24 17:32:29
5
HADIJA RAMADHANI :
jaman anachokisema huyu dada ni kweli kabisa yamenikuta mwenzenu sijatapeliwa lkn nimepigwa heart break ilibadilisha mfumo mzima wa maisha yangu tuwe makin na wakaka kama hao
2024-08-29 18:27:55
71
Choclyn :
nafanya hivyo kila mara, hata nikutane na rafiki mpya lazima nimtafute social media na Google
2024-08-29 18:52:38
12
Miss Nyange🌹🦋🇹🇿 :
Na hawa black mamba wa uku mtaani pia tukiwasearch tutawapata kweli?
2024-08-30 05:28:02
8
Jessica 🦋 :
Mimi nafanya uchunguzi balaa acha na google kila mahali nafatilia adi familia yako 😂😂
2024-08-31 10:48:08
7
Rappertozzy Kibuki :
waizer tuleteee story ya Baltasar wa Equatorial Guinne 🙌🙌
2024-11-04 21:56:59
3
Cathy98🦋 :
yashanikuta wallah
2024-08-29 18:59:19
7
Cathys DecorNique :
Na miaka yangu 40 kasoro sijawahi Amini mwanaume anaweza nitoa kimaisha...Nasemaga wote tumezsliwa watupu,hata huyo bakhresa bado anauza askirimu ili atoboe..Leo anipe Mimi opportunity!
2024-09-25 11:24:58
11
Nelly :
😂😂😂 mimi Google ilinisaidia wallah
2024-08-30 04:45:24
5
VANT :
mimi ni mama. napenda kukufatikia sana story zako. unajaribu kuelekezwa kwa ufasaha sana. nafurahishwa jinsi unaenda detailed. hongera mwanangu. unatumia vema social media.
2024-09-27 06:58:19
8
phetty-chego :
Kama hayupo huko gougle😳
2024-09-24 20:28:22
5
zaqeenaddie1 :
mm nili pata m Nigeria lkin akanmbia nimty wa Burkina Faso bac akaniuliza watumia fb nikamwambia no only wasap hee kuja kunfuma fb acha
2024-08-29 16:37:00
6
Eng. Eze :
Bdo una bikra??
2026-02-04 13:31:53
1
Vivian Honey 🍯 seller :
Mimi ninaushhud hilo😅😅 kuna mwamb mmoja alimuibia mdog wangu milion 6 kwa gia kali sanaaa😅😅😅😅 sifurahi maan ilinifany mpaka nikaugua presha pesa ya mume wangu😭😭😭😭😭aliyetpeliw mdg wangu pesa
2024-09-01 10:53:26
1
Amina 267 :
wapo wengi wanaume hao na wanawake tunapenda kudanganywa
2025-05-21 12:12:34
2
GOOD SHOUT :
unawaogopesha watazekea makwao🤣🤣
2024-09-26 20:44:18
2
To see more videos from user @waizer.it, please go to the Tikwm
homepage.