@mt_rita_wa_kashia: #CapCut #jimbo #kwaya #novena #ritawakashia #kwayakatolikieast #katolikitanzania #CapCut #media #gospelchallenge #catholictiktok #kenyagospel #gospelchallenge #makuburi #kizito #kenyagospel #gospel #viral #tiktok #kwayakatoliki
mt_rita_wa_kashia
Region: TZ
Monday 02 September 2024 16:11:42 GMT
Music
Download
Comments
Annie :
samahan kwa kila siku unataja ombi tofauti ama moja tu
2026-05-14 05:25:03
0
sly wa me :
nahitaji kutumiwa kitabu Cha mtakatifu Rita, Kenya nimetafuta sasa ni mwaka mzima, Vrc hakipo
2024-09-03 06:04:32
4
AniphaNdicumana :
Mt. Rita nakuomba umjaalie hekima akili ubunifu maarifa mwanangu Brayani katika mitihani yake inayo kwenda kuanza kesho 3/9/2024🙏
2024-09-02 18:12:54
55
Eshetlapdot :
Ukimaliza kusali novena unasoma zaburi gani
2025-09-09 20:23:34
12
kate :
tag me the next one so that I won't miss
2024-09-02 19:32:14
12
Muthoni Longatso :
mt Rita pray for my financial breakthrough
2024-09-03 06:40:32
16
r.i.c.h.m.o.m.o :
naweza kusali usiku?? yan mchana sababu ya mazingira ya kazi ni ngumu kuisali...je naweza nikaifanya usiku...na naomba kujua inasaliwa je jamn....
2024-09-02 19:04:01
11
official_Pattie 😘 :
Ewe mtakatifu Rita wa kashia nakuomba Kwa Imani na unyenyekevu mkubwa naomba unijibu mambo yangu
2024-09-02 19:31:54
5
Mary Emmaculate Ngan :
nimeianza leo,naomba nipate mtoto wa kiume,nina uja uzito saa hizi wa miezi tano,nina watoto wasichana watano.Ee mungu sikia kilio changu.
2024-09-03 06:38:48
8
Gift 🇹🇿 :
Hii novena ni nzuri tusali ndugu zangu mimi nilisali nikiwa mjamzito nilichelewa kujifungua niliota siku ambayo nitajifungua na nilijifungua salama
2024-11-07 14:00:20
6
🦋àureel :
eee mtakatifu rita nijaharie miujiza yako katika uzao wangu ukawe uzao hai na sio mapooza amina
2024-09-02 19:00:40
4
Naomi Thomas :
Naitaj hchi kitabu npo tabata nani anajua sehem napata uku
2024-09-02 20:33:49
1
its Esco :
labla ujaanza unasali zabur ip
2026-02-04 20:21:25
2
Anna Kapinga :
eehee mtakatifu ritha naomba uniombe milango yangu yote ya mafanikio ifunguke yote
2024-09-03 10:43:58
8
Mhonjar jr :
mt.Rita nakuomba uniondolee ugonjwa nilikua nao wa kuumwa mgongo na kiuno
2024-09-03 06:02:33
3
lilian :
eeh mtakatifu rita naomba uniponye uvimmbe Amina
2025-09-03 18:32:30
3
zabonabetina :
samahani unaweza kusali muda wowote ata asubuhi mchana au??
2024-10-17 06:31:07
2
Veronica :
Mungu nifungulie njia nipate kazi nikomboe familia yng
2024-12-02 00:04:08
2
Christine Mutioh :
hiki kitabu Kenya kipo?
2024-09-02 18:40:48
4
Tricial :
Amina
2024-09-02 20:44:10
1
@MamaAngel :
Amina🙏
2024-09-02 18:08:39
1
Aneth :
Amina🙏🙏
2024-09-02 18:04:38
1
swty ivan :
Amina
2024-09-02 17:43:06
1
mwajuma razalo :
Ee mt rita naomba uniombe nijifungue salama na uniombee familia yangu
2025-06-02 20:52:23
2
J.O.Y🎀🌸 :
Amina 🙏
2024-09-02 17:50:18
1
To see more videos from user @mt_rita_wa_kashia, please go to the Tikwm
homepage.