@sunnah_zanzibar:

SUNNAH_ZANZIBAR
SUNNAH_ZANZIBAR
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 September 2024 13:34:46 GMT
89253
3960
207
679

Music

Download

Comments

nathcashy
Nath cash :
Allah aqbar
2024-09-04 14:06:13
1
user2612421828880
haiyna😘♥️ :
Asante
2024-09-03 18:10:08
2
chimamy3319
sweetie 🦋🥀 :
amin
2024-09-04 17:37:54
0
kairbahalafasyanz
kairbah :
allah taala awajaalie waliopata watoto wawe wa kheri na atujaalie tuliokuwa hatujapa watoto tupate watoto wa kheri ameen
2024-09-04 10:53:04
89
user6681676226166
dida collection's :
Alhamdulilah nn wakike 3 ila nawapenda sjawah jitia roho mby kisa sin wa kium
2024-09-04 10:58:19
14
missutuda
missutuda :
home ni wanawake 5 mwanaume 1 sote tumesoma tuna kazi tumeolewa n'a maisha mazur alhamdulilah tunasaidia wazeee wetu vizur sana shid hawana ibak kubwa ambayo haitatuliw n'a pesa
2024-09-03 19:27:48
12
sheru2284
Sheru2 :
🥰🥰🥰 Alhamdulillahi rabilalamin ninae wakike nimeona mbora huyo wakike kuliko wakiume Mungu amtangulie na amlinde. watoto wa kiume wakikua sio wako huthamini wake zao. wakike ni stara yako.mzazi.
2024-09-04 10:32:52
5
user5052760008684
Aziza :
mashalla mungu answered watoto wangu wote 3 wakike nawapenda sana
2024-09-04 12:13:20
5
zuuh101.com
zuuh...! :
Huyu ndo mfariji bhna, ubarikiwe sana 🙏
2024-09-04 06:54:25
6
mamsudi
anty arafa :
😂😂alafu Kuna mmi wa kiume watupu munihurumie
2024-09-04 07:35:56
3
user2951952130797
balkis :
mm nimesimangwa weee sizai nkazaa mtt akaumwa sanaa nastrok juu nkakimbiwa nataraka hakutoa tumerud kuuguzana tukatoa chetu namwanangu huyu wakiume
2024-09-10 21:14:12
1
user9726568719976
love :
je kama ukiolewa na mimba sasa ndo inakuaje jamani mimi nachanganyikiwa mbona 😭😭😭😭😭
2024-09-07 06:56:42
1
user6801541981530
daulati :
kwanza ukizaa mtoto wakike rizki njenje nematupu zawa kiume sasa izo shida zake utatamani uingiye kwenye shimo mimi ninao wakike na wakiume alhamdudilah
2024-09-05 11:01:21
2
tialatif29
user4175300628318 :
Ya Rabb nirekebishie binti yangu na wa wengine pia wanaopitia changamoto ya malezi
2024-09-09 19:50:01
3
shadmaya.jaffar
Shadmaya Jaffar :
subhanallah 😭😭😭😭mtihani walahi unaeza ukaenda kwa madaktar bingwa lkn 😭😭😭 ndo mipango ya mungu ..mtoaji ni mungu .kila jambo lina kher yake .
2024-09-04 18:25:32
4
fatimakingube1
Fatima kingube :
mim ndio wakiume watupu had najihurumia
2024-09-06 08:21:23
3
russy.charma
russy chama :
Alhamdulillh firstborn wangu n mke ila nashkru🙏🥰🥰
2024-09-04 13:18:14
3
user2454783324881
fedhel@ :
alhamdulillah na sasa ndiyo wafariji wangu
2024-09-04 06:26:31
2
user30beyrek
Beyrek supersonic :
Naomba kuuliza, kwani kwa mtoto wa kiume hana heri??!! isjekuwa tuliozaliwa wakiume wa kwanza ndo hatuna heri..au hii imekaaje?
2024-09-05 07:22:41
0
user8551056276004
Dyder-05 :
Alhmdulillah Allah atupe watto wema
2024-09-04 06:58:36
4
user1744590075382
tumu bokhary :
alhamdulillah🙏 tumezaliwa watoto 6 wote wanawake na baba etu anatupenda sanaa
2024-09-04 14:16:26
3
2345al9ne
wastara :
alhamdullilah mola kanipa vijana 4 bint 1 tu.alhamdullilah
2024-09-06 15:52:23
2
user19433534598584
Aisha omary :
sisi baba yetu hatupendi kwa sababu tumezaliwa wanawake wengi
2024-09-04 17:44:03
2
user6103831350734
user6103831350734 :
Allahuakbar .ya Allah tupe watoto wema ya Rabbi
2024-09-04 07:53:55
2
sultansaidsad
sultan said :
shekh umesema kweli
2024-09-04 05:37:40
2
To see more videos from user @sunnah_zanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About