Siku nikienda home Mungu akanisaidia kufka salama lazima nikamtafute sangara Kama huyu
2024-09-04 16:50:18
1
fhjj76 :
shngap huyo🤩
2024-09-04 16:57:31
1
alfred :
ila ccm🙈
2024-09-04 17:01:12
1
fresteria🫀❤️* :
mumeona vitu hivyo vya nyumbani jamani💪💪
2024-09-04 17:04:13
1
Alcarez :
👍👍👍
2024-09-04 17:14:22
1
Man from songwe :
Asante kwa kushiriki
2024-09-04 20:58:03
1
venture :
duh
2024-09-05 10:00:35
1
Abdallah :
Usiisome comment hii nitakublock
2024-09-05 17:46:40
1
Mesh :
Nimesikia efu nne au nivipi😂
2024-09-05 20:00:29
1
SCOTT BLAZE🇹🇿👨🏾🎤 :
😁😂😅me simoooooo 🙏 japo naona kama nimazingira ya nyumbani bhanaaaa😁
2024-09-06 15:38:22
1
Rajab Ally :
bei plz
2024-09-06 15:54:09
1
user193718335750 :
"Sangara kwa wingi........hata sangara pia wanaibiwa"-Remmy "Surambaya" Ongala
2024-09-07 07:54:56
1
BIG BEN#️⃣6️⃣🇹🇿 :
@lizomanyasseir 05 @binmarcelo1
2024-09-04 05:50:06
1
Azrakaya maheer Maheer :
yan samia akiona hii utaona siku sio nyingi utashangaa wasukuma wanahamishwa mwanza wanapelekwa kuishi songea bcz kama kiongozi wa atakuwa ameona fursa😆
2024-09-04 09:06:20
1
Suma Shaibu :
si tunachukulia ukubwa kutokana na anavyonyanyuliwa ila akilazwa anaonekana mdogo
2024-09-04 13:52:32
1
poshytinnoh :
serikali ndo inanua hyo 🤣🤣
2024-09-04 10:03:47
1
sabe 0696230013 :
ccm oyeeeeee
2024-09-04 10:26:40
1
Niva cakes :
sisi tunamuona mdogo hyo😂
2024-09-04 12:02:32
1
Home kitchen store :
kipindi hicho situlipata wa kg 81
2024-09-04 10:36:33
1
b4d :
Naipenda man united
2024-09-04 10:41:50
1
Gabb :
mwanza sehemu gani niende
2024-09-07 15:57:36
0
maundu empire :
likavenga
2024-09-06 19:43:49
0
merry :
ndoman natak nilud maziwan huko😂😂😂😂
2024-09-07 07:29:24
0
mbosso khan :
mmmh jamn huy samak wa kishindwa kubeba kweli 😂😂
2024-09-07 09:21:26
0
ameirjuma5 :
nataka bondo
2024-09-07 10:56:59
0
Let us plan your holiday :
@officialjaq4
2024-09-07 11:25:56
0
To see more videos from user @samaki.wa.mwanza, please go to the Tikwm
homepage.