@ourlovestorypodcast: Hahaha @sameerah_tz na @Cawinna_ kwenye @ourlovestorypodcast #kwanza me #nchekechallenge #hesabu #warembo #MAGAZIJUTO #Malaika #Siomchezo #trending #bongo #msanii #bongofleva #maswali #bongofleva #tiktoktz #rarua #utotonikidogo= #utoto #viral #balaa #kenya #Uwizi #patamu #mrembo #tanzaniatiktok #for #foryou #foryourpage #ytb #typ #fyp #fyp) #fypage #fyp>) viral #viral

Our Love Story
Our Love Story
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 September 2024 14:30:16 GMT
739067
38028
1515
737

Music

Download

Comments

user9741704840733tatu
Da Tee Sandoz :
juzi enyewe nimesikia baridi mgongon kumbe nimeacha dirishan wazi matone ya mvua yanapenya mmh ngoj nilale sasa😂😂
2024-09-04 18:33:47
965
fayneed
tc_karungi :
kila huba litaonja umauti😂😂 taptap screen guys
2024-09-04 18:04:14
503
jenifermwampashi
Miss Jennifer🦩 :
baada yakumaliza kuangalia hapa mamba wote turudi mtoni😂😂😂😂mawe yatakuwa yashapata jua😂😂😂
2024-09-04 21:08:53
242
zainabutamili
zainabutamili :
sijui na mm nacheka nn 😂 nawakati na Kaa mwenyewe
2024-09-04 15:55:52
417
mgisi_bites
Mgisi bites &cake$ :
😂😂😂😂 sjui n nn hk ila spend kuona watu wanachekeana
2024-09-04 20:53:37
84
melosa.pelr
Melosa Pelr :
huyu mwanaume kama anajichubua 🤔🤔, au basi🤐
2024-09-04 17:35:24
126
nayce731
Naa🥰 :
et na mm nacheka khaaa ebu nikaoge zangu nilale mwenyew kama samak
2024-09-04 17:36:44
119
carolyne.2502
Carolyne2502 :
Na nyie mtuletee mjengo kama wa nandy sio kucheka tu🥺
2024-09-04 17:49:40
24
mwanaawanja
MWANA WANJA :
mbona nawaangalia nachukia au ndouchawi unapamba moto
2024-09-05 15:41:41
65
nurridhytz
NurRidhy@tz :
team single, singular, singwengwe where are ue🤪
2024-09-05 09:58:21
17
absinarashid
Absina Rashid :
maskini mm hata taree za siku zangu siesabu naacha tu siku ikitoka ndo nivae pedi maana sitaki kujua sipendwi nishajikatia tamaa nasubili mungu tu
2024-09-04 19:32:44
33
micaelmice071
MICAEL :
kuna watu mnapendwa sana
2024-09-04 14:45:50
15
aslihan_mmanga1
اسلحن🌺 :
aya mkimaliza kuangalia wale tumbili wenzangu turudi mashambani tukale mahindi🥺🥺🥺
2024-09-06 20:58:15
12
scachris
sca :
Mara ya mwisho kuguswa mgongoni niliguswa na kinyonga... 😂
2024-09-06 19:28:46
12
ntontolinto.g
tonto.❤️🥰🤑 :
tunaocheka .. bila sababu .. tunakaa wapi?
2024-09-06 06:10:13
14
preciousrevocatus
Precious 1 :
😂😂😂ukiwa single unaon ka wajinga hawa😂😂😂
2024-09-07 01:21:37
6
officialhiya
Hiya collection🧿🛍👜 :
Eeety na mm nacheka 😂sa sijui nacheka nini maskini mm😔🤭
2024-09-05 07:18:48
6
swabrigass4
Swabrigass4 :
mm nilifanya nikaambulia ngumi ya uso🤣😂😅
2024-09-05 02:50:31
17
prettyquinn41
❤هويدا سعيد :
Najikuta Nacheka yatima wa Mapenzi😩
2024-09-04 16:32:28
6
loveness1251
loveness :
When lastborn meetng😂😂😂
2024-09-04 18:41:19
8
pillow809
🌺pillow🌺🌺 :
mbona kama anajichekesha
2024-09-05 20:12:07
5
beicheetz
@Beichee TZ :
dooooh 😆 pooor me
2024-09-04 18:40:00
6
ayseelhande
دافني👑 :
Samira kanenepa mashallah
2024-09-04 20:15:58
5
d0lln
🌸dories♒️ :
mayatima wa mapenz gather here😁😁
2024-09-04 18:36:55
92
kinahbilali
Sakinah 🧕❤🔐 :
sjui nacheka nn jmn maskin mm 😄😄😄
2024-09-04 18:37:36
3
To see more videos from user @ourlovestorypodcast, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About