@kimwagaaccessories: Baada ya kumaliza mkopo wa kausha damu😁

Derick
Derick
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 September 2024 15:17:45 GMT
417423
9252
579
1361

Music

Download

Comments

neycollection3
neycollection🌸 :
Mwenye anajua dawa ya kuacha kutafuna mchele aniambie ntakufa mwenzenu kila siku kikombe cha chai😭
2024-09-06 07:50:32
18
kimmbu93
KI♏️♏️ßU 6️⃣1️⃣9️⃣ :
hii nchi imetoboka mahali mbna upepo unapungua
2024-09-05 19:39:00
6
mbwana400
Mbwana400 :
huta apply tena? wameongeza kiwango na riba imepunguzwa ww ni mteja wao mzuri😂😂
2024-09-06 17:24:43
6
ibroko12
ibra 1 :
hiyo ndiyo vikoba style 😀😀😀
2024-09-05 09:06:50
3
zuwenajuma4
IR_J :
c mchezo mpk suruali umeifunganya😂😂😂
2024-09-05 17:29:33
2
swaumdugwd0
mwana :
🤣🤣🤣🤣kuna huu nnazo daiwa mm nikiumaliza singii kazn sku mbili nakula pilau kudaadenya 🤣🤣🤣🤣
2024-09-06 06:57:08
3
walikukunazi
walikukunazi :
Bado mkopo wa ndizi 😂
2024-09-05 04:57:45
3
jojo76378
Miss Ma :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 naona umekauka had nyama
2024-09-05 09:37:15
3
mimacho865
Mimacho :
kwani kausha damu ndo nn jmn??? au watekaji watt?????
2024-09-09 05:13:11
2
davidsonfrance46
Davison :
tengeneza content ss uingie mjini Kaka best idea
2024-09-06 13:58:27
4
jane.joseph.joseph
Jane Joseph Joseph :
mwikwabe😂😂utisha kinoma noma
2024-09-05 09:09:41
2
user46397236394735
nayma202 :
tuliocheka kwa sauti tujuwane hapa nina shido na ninyi
2024-09-05 18:27:36
2
nyaki_tza
Abdallah Nyaki :
😂😂 kubabeki
2024-09-04 17:03:55
2
keesher21
Amina Kinyaiya MinaO :
Na usingelipa wangekausha bandama 🤣🙌🏾 daslama imechangamka bana
2024-09-06 08:14:40
2
fatumakhamiss6
Fat-tham :
😁😁😁 akuna kufa kwa mawazo katk hii dunia🤩🤩
2024-09-06 11:56:21
1
liliankamola
bint uliy🥰🥰 :
naulisha Anza kakauka kweli 😅😅😅😅
2024-09-08 07:24:42
1
kungwisweet.lollipop
kungwi sweet lollipop :
weeeeeee umu tu umu tu umu tu umu tu,,,Ndio maana tik tok uwa stoki
2024-09-07 20:28:39
1
momepeter8
MOME🦋 :
Ina onekana huo mkopo Uli mkausha hadi mwili 😂😂😂
2024-09-07 20:47:08
1
la_makamera
Socond born :
na bado njoo nikukopeshe chomoa roho😜😜😜😜
2024-09-04 21:35:33
1
nuriyaonly
Da semeni store :
hii nchi kuna mahali imetoboka🤣🤣🤣ninecheka wallah i love my country and am realy miss tanzania inshaaallah
2024-09-07 09:51:02
1
user5769790745097
user5769790745097 :
Nafikiri Dar ni sehemu ya ajabu, people are not serious at all na hawataki kuwaza, they know how tonmake themselves happy, even when they're on bad
2024-09-06 21:08:50
1
big4_009
BIG4_009 :
unakuag mtamu ase 😂😂😂😂
2024-09-05 08:59:01
1
rechox
rechox :
tamba baba tamba kumaliza rejesho mchezo🤣🤣🤣🤣🤣
2024-09-05 15:22:00
1
mwazai255
mwazai255 :
Nauza viwanja online karibuni sana.
2024-09-05 18:55:05
1
darlingtonydavis
darlingtonydavis :
Si umeandika barua ya mkopo tena sasa unacheza nini😂😂😂
2024-09-06 09:52:30
0
To see more videos from user @kimwagaaccessories, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About