@vanicy7: #peaceandlove #trending #viral #happy #Love #beauty #blackbeauty #kidsoftiktok

Vanicy
Vanicy
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 05 September 2024 06:41:32 GMT
899084
19311
292
165

Music

Download

Comments

user8834044960638
Abuu :
mama charting with the love of her future 💔💔
2024-09-06 03:46:05
191
graphbones
graphbones :
Anajifanya hasiki the Man is hungry 😳 Hawa wenye hawajali mnatoaga wapi😳
2024-09-05 15:23:28
105
mwema8425
mwema :
huyu mtoto anaweza fungua fridge, usitubebe ufala hauna fridge skuma ni ya kibanda.
2024-09-05 18:32:57
60
kesh_faidah
Keshy Angel :
Mbona mnasema mboga isikakwe kwa kibanda please???
2024-09-05 13:54:25
29
2waterchild
A WATER CHILD💦👧 :
kwani kibanda imedu?? nitachagua mboga nijioshee vizuri then nikatiwe, siwezi jikatia mboga mimi🤣🤣🤣
2024-09-05 21:52:40
22
k2go2
Nyabwororo :
toa hizo viti, zimepitwa na wakati
2024-09-05 10:21:18
21
claireetole
Claire Etole :
sasa apparently nyinyi wote hujikatia skuma kwani hawa watu hua nasimama nao kwa mama mboga ni kina nani😂😂😂😂makumbavu zangu
2024-09-06 05:31:25
15
user3026103746014
user3026103746014 Bettylasy :
mbona unapenda kukatiwa mboga Kwa kibanda haki🤔🤔
2024-09-05 10:57:46
14
officialemma173
officialEmmah@ :
kwani comment section Huwa hamkatiwi mboga kwa kibanda
2024-09-05 14:42:04
8
user_5jjiztincg
. :
Mi nkiolewe tutakosana ju ya simu,mi nkishika simu hujisahau
2024-09-05 13:27:50
8
carolinemokeira0
Mokeiraa✨💥 :
avoid that mentality that sukuma ya kibanda ni chafu
2024-09-05 19:13:46
7
fatumafetty2
Fetty-40 :
Toto kachukue mwiko uchape wote wawili anza na mama😂😂
2024-09-05 15:01:04
6
wanderahemprezz7
wanderaemprezz77 :
to those saying mboga isikatwe Kwa kibanda for me kibanda all the way 🤣🤣
2024-09-07 00:11:15
6
nyangile6
Nyangile :
Anawakumbusha ni masaa ya chakula
2024-09-05 06:58:40
5
lynne29347
Lynne :
Time really flies, huyo mtoto amegrow already!!!
2024-09-05 14:16:03
5
miss.kinyua26
Mo_Mo🍒 :
watu wako njaa😂😂😂😂😂
2024-09-05 06:56:14
5
empressvicky782
Macklin254 :
wueeeh c macho za watu zinasorora nyumba
2024-09-05 11:23:49
4
shantec6
Pkay :
comments aki watu na unsolved advice...kila mtu ajifanyie vitu kivyake advices mjiekee
2024-09-05 11:37:04
3
lizbeb84
Liz beb :
weka wire nyuma ya viti to avoid unnecessary accidents
2024-09-05 09:23:24
3
djdontwiga
djdontwiga :
the busy chatting got me yawning
2024-09-09 18:47:04
2
jaredbosire0
user1148733499781 :
Umekaa kwa simu sana, halafu mama anasema si uko na Yako 🤣🤣🤣
2024-09-05 16:27:42
2
ruthmasix
@ruthmasita :
Mnakula sukuma na nini 🤣🤣
2024-09-19 04:43:30
2
clementshikanda
Clement Shikanda :
Umesema hiyo ni department ya mama 😂😂
2024-09-07 06:16:47
2
val_minayo3
val_minayo :
wewe daddy pia mum ako njaa,, pia wewe ingia upike hujaskia amechoka, hata amejam,
2024-09-05 15:42:49
2
bilha.wanjiku3
BihWisdom :
weeechio wire haiko place poa look for fundi to hang it otherwise ...
2024-09-05 09:00:21
2
To see more videos from user @vanicy7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About