@capstanonly: #CapCut #hum khud ko Zaheer lgty hen🚬💔💔#capstain #smoker #virl #trending #fyp #foryou #foryourpage

CAPSTAN ONLY
CAPSTAN ONLY
Open In TikTok:
Region: PK
Thursday 05 September 2024 21:07:13 GMT
1064
37
0
9

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @capstanonly, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Serikali imetoa siku 21 kwa wamiliki wote wa vyombo vya moto nchini kuhakikisha wanaviingiza kwenye Mfumo wa Uratibu wa Ukaguzi wa Vyombo vya Moto (MIMIS) na kuvikaguliwa kwa mujibu wa sheria kabla ya Julai 31, 2026, kuelekea kuanza kwa operesheni maalumu ya ukaguzi wa vyombo hivyo. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Ayoub Mohammed Mahmoud, baada ya kikao cha Kamati ya Uongozi ya Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Ayoub amesema tathmini iliyofanywa na Baraza hilo imebaini kuwa asilimia 46 ya changamoto za usalama barabarani nchini zinatokana na uzembe wa madereva, hali iliyosababisha Serikali kuanzisha operesheni maalumu ya ukaguzi wa vyombo vya moto ili kuimarisha usalama barabarani. Ameeleza kuwa baada ya kumalizika kwa muda wa siku 21 uliotolewa, Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani kitaanza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wamiliki wa vyombo vya moto ambavyo havitakuwa vimekaguliwa, ikiwemo kuwatoza faini kwa mujibu wa sheria. Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP William Mkonda, amewataka wamiliki wa vyombo vya moto kutumia muda uliotolewa kukamilisha ukaguzi wa vyombo vyao kupitia mfumo wa MIMIS kabla ya kuanza kwa operesheni hiyo. Mkonda amesema huduma za ukaguzi pamoja na msaada wa matumizi ya Mfumo wa Uratibu wa Ukaguzi wa Vyombo vya Moto (MIMIS) zinaendelea kutolewa katika maeneo mbalimbali nchini ili kuwawezesha wananchi kutimiza matakwa ya sheria ndani ya kipindi kilichotolewa.

About