@nickshabokajr: SHERIA YA MAISHA NI KUVUNA UNACHOPANDA. CHUNGUZA NI MBEGU GANI UNAPANDA KWENYE MAISHA YA WATU, MAUMIVU UNAYOWAPA WATU YANA NAMNA YA KUKURUDIA. UKILA UKASHIBA USIUKATE MKONO ULIOKULISHA, UKINYWA MAJI USIPASUE NDOO ULIYOITUMIA KUTEKEA MAJI. HATA KAMA UMEFIKA UNAPOENDA USICHOME DARAJA. DUNIA INAZUNGUKA, KUMBUKA FADHILA. -Apostle Nick Shaboka Jr #madhabahuyamoto #neemajuuyaneema #0755311004 #viral @apostle_nick_shaboka
Nick Shaboka Jr
Region: TZ
Friday 06 September 2024 17:38:42 GMT
Music
Download
Comments
MaximilianKiria :
ameen uwa nabarikiwa sana pasta na maubiri yako naomba kwa mungu nizidi kubarikiwa na neema yako sauti yako ya baraka acha ikaishi kwenye akili yangu
2025-07-17 18:11:27
0
user2471194981276 :
ilenikweli merci
2024-12-03 03:55:40
0
Bitte🍏 :
Dharau baba dharau baba😭Moyo unajitaidii baba unashindwa kuvumiliaa dharauu zao BABA🙌🙌😫😫
2024-09-06 20:48:00
26
Ayoub Frank :
amen amen amen🥰🥰🥰
2025-04-29 13:05:10
0
Astey :
Daaah 😭😭 nashinndwa ata kusimulliaa
2025-02-28 15:13:20
0
kiongozi :
yes👍 true
2024-12-25 21:12:17
0
Tenie :
Niliwakumbatia wakilia na kuumizwa ila leo hii wamepata furaha wameondoka nakuniacha nalia peke angu😭😭😭mungu pekee ndo anajua
2024-09-07 18:25:39
17
Victor Mgaya :
amen
2024-12-04 04:44:43
0
Inafikia hatua uvumilivu unatushida 😭😭
2024-09-07 07:32:17
2
P🌹 :
☹️kuna maamuz nlitaka nfanye ila hii post imenigusa sana😭😭😭
2024-09-07 13:36:48
2
salala fredrick :
amina mtumishi
2024-11-08 19:47:28
0
stiba :
pole...asante
2024-09-07 07:00:06
1
Pastor Emmanuel :
ameni Baba yangu
2024-09-06 18:39:04
1
Agripina Shayo :
Asante mkwe
2024-09-07 14:28:28
1
Marikia :
ameeen 🙏
2024-09-30 20:39:26
0
Mc praise :
hakika Mungu azd kukutumia
2024-10-20 18:04:51
0
vumiliamlula :
sahihi
2024-09-07 07:26:18
1
Stella Kyaruzi :
ubarikiwe sana
2024-09-06 19:20:23
1
ney 💜🌟 :
aah kuna mda wanatudhalau ety kwasababu walitusaidia mhh dunia hii inamengiii
2024-10-23 10:16:03
0
sonya17 :
😭😭😭ivi mnajua mm mrembo
2024-09-18 12:37:34
0
anisa :
amen
2024-09-07 17:17:07
1
ZAHARA :
nikweli
2024-10-18 19:54:39
0
millah :
Amen 🙏🏻
2024-09-07 12:59:26
1
malia :
kweli baba wambie
2024-09-07 07:35:00
1
Mamy dopsam🦋 :
kwel🙏
2024-09-06 18:41:21
1
To see more videos from user @nickshabokajr, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.