but where do these numbers come from? soma 700+ mara 99...
2024-09-10 09:35:27
9
Jarilu_Dripchek :
Ndugu zangu waisilam ogopeni sana hawa mashekhe wa Tiktok kaeni chini muosome dini yenu kwa haki Elim ya dini haina umri
2024-09-10 05:39:02
91
fahdy orny djanati :
tisini natisa what's mean in English
2024-09-10 12:10:09
28
salima boga☆ :
Bidaah??? Can we get a Hadith citation
2024-09-10 21:29:38
9
Ema :
sheikh, muhimu si numbers flani. maana wengi wakisoma, hamu huwa kukamilisha hizo numbers na akili haiko. Muhimu ni YAQEEN, Soma hata mara 3 au 7 au 33, kwa yaqeen ALLAH atampa
2024-09-10 20:02:44
54
warda Michael :
na ukisoma Bismillah rahmani rahimi mara 19 kisha ukitaka kumuomba mtu kitu chochote CHA KHERI ana kupa kwa idhini ya ALLAH
2024-09-14 16:52:43
3
Abedi Mwidini :
shekh samahani sana ninaomba mawasiliano yako ,,
2024-09-10 15:34:10
6
Dalali Muaminifu :
shukrani Allah SW akuhifadhi na akujalie neema akhy inshallah
2025-07-05 05:34:22
3
Karim Hamis :
hivi unajua kwamba hizi ndiyo video za kuishi nazo kwenye simu yako??
2024-11-25 19:10:46
7
Xasan Yare :
مشا الله
2025-08-17 16:31:19
1
user5283756503617 :
nakupenda sana shehe mungu akuzidishie
2024-09-10 04:34:48
9
Husnat Munawwar :
nakupenda Sanaa Kwa ajilii ya Allah... Allah akuweke Kaka yangu unatuelimishaa Sanaa
2025-08-21 09:24:49
0
Allihamdulilah :
sheikh mweyezi akupe heri shuqulaan 🙏🙏🙏🙏
2024-09-14 19:08:09
1
menace19 :
ulimfanyia dua mama angu Dar-es-salaam na Allah akamfanyia wepesi. Allah akutunze shekh
2024-09-16 07:31:54
5
Ali Francis munshid :
kwa dalili gani ? ama kwa hadith gani
2024-09-11 21:12:37
1
ummu balqiis :
hakika mwenye kuamin ndiye ataeelewa hii Allah akuhifadh sheghe wetu
2024-09-10 10:58:34
11
Wahida Omar :
Jazakallahu kheir ya ustadh 🙏
2024-09-10 04:21:13
6
mfaume :
allah azidi kukuongoza sheikh wetu akupe khusnul khaatima.