@pastormunishi: #duet with @Munishi Faustin AMRI YA MUNGU USIUE Wanadamu wote tuko kwenye foleni ya kungoja kufa. Baada ya kufa ni hukumu ya Mungu Ukimuua mwenzako umemtanguliza lakini wewe hutoki kwenye foleni na mbaya zaidi umejiongezea hukumu kwa dhambi ya kuua Yakobo 2:11 [11]Kwa maana yeye aliyesema, Usizini, pia alisema, Usiue. Basi ijapokuwa hukuzini, lakini umeua, umekuwa mvunja sheria. Kuua na wewe ungoje kufa ni adhabu kwako siyo kwa uliyemuua Hata usingemuua, wewe na yeye lazima mngekufa tu. Ukitaka kumpa adhabu adui yako, mpe chakula na maji aendelee kuishi ajifunze nawe uwe na amani ukiwa kwenye foleni ya kungoja kufa Warumi 12:20-21 [20]Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake. [21]Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.

Munishi Faustin
Munishi Faustin
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 September 2024 05:59:26 GMT
44394
837
254
179

Music

Download

Comments

user118532154
user6650719940536 :
Is this Tz?
2024-09-10 11:24:56
0
user7370552958765
user7370552958765 :
mmmmm
2024-09-10 11:20:12
0
jackson.franc4
Jackson Franc :
NAICHUKIA CCM MAISHA YANGU YOTE...😏😏😏😏
2024-09-10 12:01:47
12
user1799830719398
anna :
nikikuta mtoto wangu anapiga kura namlaani kabisa
2024-09-10 09:28:06
13
vedastamofuga
vedastamofuga :
nimesikiliza zaidi ya mara mbili nikijua anakosea kuongea
2024-09-10 11:19:36
8
user5150103345017
user5150103345017 :
Hivi kweli imefika mahali watu wanapiga makofi kwa kufurahia neno la kuua?
2024-09-10 11:07:33
6
user4730296395711
omary Athuman 965095 :
kwani we unajua ngalama ya roho ya mutu?
2024-09-10 09:54:09
17
user62450063011478
@Lightnes :
sasa kiongozi kweli unaongea matamshi kma hayo unamaanisha nini sasa
2024-09-10 10:10:58
9
user8850717519229
Black fire :
mtalipwa mnayoyafanya
2024-09-10 09:22:18
8
user8374907957315
user8374907957315 :
yani hawa ndo wanapoteza watu.kauli kali sana hiyo
2024-09-10 11:07:30
5
1mgperfume
Martha Godson :
kama huyu kaka Bado kiongozi wa chama basi mmetuhakikishia
2024-09-10 14:36:01
2
allkibamwakalinga
kingkiba4 :
duh kweli
2024-09-10 12:33:59
3
user311836317942
mtoto mweus :
hayo sio maneno ya ccm Bali ni maneno yake
2024-09-10 12:12:37
0
user84345494129814
xhon xhon :
gharama gani wewe kwa kura zetu
2024-09-10 14:31:08
1
mandro.nipsey.hun
Mandro nipsey huncholatinho :
kila nafasi itaonja umauti
2024-09-10 14:18:50
1
yonamathiasyona32gmail.c
the man of the people :
Wakoloni weusi haoooo, ipo siku mungu atakupoteza wewe
2024-09-10 14:07:16
1
user4703441420441
alice :
kwaiyo uongozi ni bora kuliko damu ya mtu,
2024-09-10 09:59:37
3
ebenmacha
Eben Macha :
kama tumefikia huku hapana mimi bado kijana ila hiii sio siasa aliyoiacha mwalimu Julias nyerere siasa Chafu ndiyo hiii Ambayo haitaki kukosolewa 😥
2024-09-10 09:24:24
3
user4420698218356
user4420698218356 :
we Kuma sana
2024-09-10 10:23:29
2
user8850717519229
Black fire :
umevaa vazi la machinjioni unaropoka mamako hajauliwa ndio utaelewa kwenye siasa hamna matusi kwa mpinzani
2024-09-10 12:20:31
1
carry3563
carry :
viongoz Wanatukanwa coz wanafumbia macho matukio ya utekaj kaz kuisifia ccm tu
2024-09-10 12:19:11
1
user78005802437722
user78005802437722 :
khaaaaaa!!!!!mnaongea live saivi duuuuh
2024-09-10 07:48:22
2
user2181255927312
stephano bryton :
Nionzima , simajina yakirundi hawo sahizi mumewapa na madalaka
2024-09-10 10:17:23
1
ebenmacha
Eben Macha :
mimi nakishauri chama cha ccm kiondoe watu kama hawa wanao tishia usalama wa watu ana kufanya chama kinakuwa hakina sifa nzuri
2024-09-10 09:26:43
1
ebenmacha
Eben Macha :
uwepo wa siasa ni kukifanya chama tawala kiwe imara na kiwe na weledi katiaka uongozi wake na kujenga nchi ila kwa hili sio sawa kwakweli
2024-09-10 09:25:49
1
To see more videos from user @pastormunishi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About