@iroc.tv: Darasa zitoo kutoka kwa mwenyekiti wa wasemaji 🤩 TUNE in Thursday at 11:30am on iRoc Networks youtube 📺 @alikamwe , @laviemakeup & @charles_matukio Cc @iroc.tv @nmbtanzania Sponsored by @johnniewalker_tz 📍 @elementstz #BeMore#NmbKaribuYako #Thejunction#JohnnieWalkerTZ #Ad #keepwalking#kenyantiktok🇰🇪 #rwandatiktok🇷🇼 #tanzaniantiktok🇹🇿 #trendingvideo
iRoc Network
Region: TZ
Tuesday 10 September 2024 09:47:29 GMT
Music
Download
Comments
rosesimon :
bado sijaona mtu akizungumzia vidole vya huy kaka🥰🥰
2024-09-10 11:28:35
132
ENGINE | MSWAKI | GEARBOX USED :
unawezaje kusahau halafu hujasemehe?
2024-09-10 12:27:12
58
Sophy :
Kabisa
2024-09-11 10:09:34
1
Stephano :
Ally kamwe comment yangu niweke wapi😂😂😂😂😂💔na ole wake mdada aguse hii comment 😂😂
2024-09-10 12:31:11
53
nyenzajunior1Mwanairinga :
wanawake wapumbavu uwa Wana visasi wale
2024-09-11 07:04:14
10
D :
Kweli men they don’t forgive
2024-09-10 10:56:56
102
official"M"@277 :
Kaka izi interview ikiwa imekamilika nazicheck wap au YouTube
2024-09-10 10:48:54
7
thegoblin9012 :
Mimi siwezi kumsamehe mwanamke hata kama ndoa tulifunga jana atarudi kwao
2024-09-10 10:52:18
14
allyg36 :
Sahihi bro
2024-09-12 01:24:10
1
AnuDinho :
Kingine wanaume hatupendi kuoga, Wanawake wengi wanaoga sana (wanasafisha mioyo yao) ndomana wanasamehe sana
2024-09-11 06:38:06
24
issahatibumohamed :
duuhh huyu jamaaa mbona kama spika wetu wanaume😂😂
2024-09-10 14:50:55
23
Queen rey :
I think ni wanaume wengi!,woteeee🤣
2024-09-10 18:22:44
19
Messi's side chick :
sisi wenyew hatusamehe tunabak humohumo tuwafundishe jinsi ya kuchit bila kukamatwaa 🚶🚶🚶🤣
2024-09-10 12:38:39
11
shefica :
yani wanaume wakisalitiwa wanaumia sana na awawezi kusamehe usaliti ila wawo ndo mabigwa wakutusaliti..wakisalitiwa sijui wanajionaje
2024-09-10 14:55:39
6
12 :
Inaonekana kwa macho na maskio kama Mwanamke anasamehe lakini hakuna mwanamke anayesamehe.
2024-09-10 12:35:43
14
Terry :
RASILIMALI ADIMU ALI KAMWE
2024-09-10 10:28:45
28
faithkomba252 :
kweli kabisa yan nitakusamehee ila siwezi kusahau mim
2024-09-10 14:33:15
5
grateful soul :
nitakusamehe ila sitasahau😶
2024-09-10 12:46:04
4
Gregory Mustapha :
wanaume tuna semeh lkn baadh ina depend na kosa
2024-09-10 14:58:29
4
August :
Sasa ukishasahau si ndo automatically umesamehe? Unawezaje kulipiza jambo ambalo hata hulikumbuki?
2024-09-10 13:06:20
3
💞she love💞 :
mm Huwa hdi na masaa uliyonikosea
2024-09-10 11:51:45
5
Marwa Jr 🇹🇿 🇹🇿🇨🇦🇨🇦 :
kamwe ana akili sana asipoongea hbr za yanga
2024-09-10 13:48:08
4
imlizzyapple18 :
ukisikia point of view ndo hii nmeipenda😂
2024-09-10 12:33:59
9
Dickson Philipo :
psychological true
2024-09-10 11:54:20
6
✨️PRINCE_JAFFARY 👑 :
sure bruh
2024-09-10 12:59:31
6
To see more videos from user @iroc.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.