@coachlion3: #CoachLion#boxingforlife🥊🇹🇿🦁🦁🦁🦁🫡👑#Round3#FightNight

𝕃𝕀𝕆ℕ..!🦁
𝕃𝕀𝕆ℕ..!🦁
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 September 2024 19:05:44 GMT
274559
8408
567
94

Music

Download

Comments

moadanny0
moadanny0 :
Jamaa kujiamin tu ila game naicheza so mbaya sana
2024-10-03 19:39:08
2
frankmhema
Frank :
hamna kitu apo gard nondo
2024-09-12 07:55:04
1
official29b
official29b :
🤣ila kocha kchonganishi🤣unaona kabisa mawe alafu unasema hamna kt😂😂😂😂😂
2024-09-12 04:54:32
44
shakurikimboka
Renga :
Nimeipenda hii upo ki professional sana yani ukisema nae anasikiliza na kuvifanyia kazi💯
2024-09-11 20:43:54
19
heavydutyfrancis
heavyduty :
safii na analimwa
2024-09-13 18:32:05
15
king.kong9789
KİNG KONG :
Mfundishe boxer wako kutupa combination of punches aache kuwa target... But foot work yake nzuri anajua kutumia ring... Nimaoni tuu
2024-09-12 09:11:25
11
strangemigrant
Strange Migrant :
Mwanao anakandwa eti hamna kitu
2024-09-12 09:24:52
9
im.champion23
I'm champion 🏆 :
safi sana wakuu ipo siku tutafika 🇹🇿
2024-09-11 21:14:07
8
giyaya05
ELON PROFILE :
kumbe ukiwa nje unaziona hivi😂😂😂
2024-11-17 18:55:17
5
mosekhalifa
mosekhalifa ♒️🧿 :
dah ila kocha yaan unaona kabisa nyundo zinarushwa afu anakwambia saf amna kitu😁😁😁😂😂
2024-09-12 07:38:05
3
deeejr7
dee😇 :
kwan tulipingwa iyo mechi kocha
2024-09-13 05:42:13
3
crazy0657
crazy 🤪 :
I don't know english
2024-09-12 06:58:27
3
alumonkisinda
kis major kis :
safi sana umemsaidia sana kumpa moral ya kutosha kijana wangu safi safi safi sana tukiwa na mtu kama huyu vijana wetu watakuwa og
2024-09-12 07:16:44
3
kapamajunior
Kapama Junior🏋️‍♂️💪 :
kazi nzuri kk🙏👍
2024-09-11 22:21:51
3
frank.gospel
Frank Gospel :
Ndugu yetu alistahili kupata ushindi yupo vizuli Nimeelewa gad zake
2024-10-13 17:51:18
3
handsome_only1
MR HANDSOME👿 :
mtu anapigwa alafu unasema hamna kitu hapo🤣🤣🤣🤣🤣
2024-09-12 08:01:06
3
hamisikamolikadami
kadamila :
kocha untampoonza kijana maana kunamaisha baada ya ngum🤣🤣
2024-09-21 07:23:11
3
salims.k.tuesday
𝐬𝐚𝐥𝐢𝐦'𝐬☆𝐭𝐮𝐞𝐬𝐝𝐚𝐲☆☆ :
nimekubali kak🥰🥰🥰
2024-09-22 12:35:20
2
shakti.bobo.tz
Shakti bobo :
kikubwa dua
2024-09-12 07:53:51
2
one..g
𝕆ℕ𝔼-𝔾 :
I think Safi is dying 😂😂🤣
2024-11-12 01:07:15
2
emaklein1220
Ema Klein Ek :
Unamchanganya bwana...muache afanye kaziyake😁😁
2024-09-12 07:22:15
2
monsta_823
Dk_823💙 :
😂😂😂😂😂
2024-11-11 14:00:27
2
iamdavidbett
𝕯𝖆𝖛𝖊 :
Mimi hii nayo siwezani. Yaani unanichocha nikipigwa eti unapenda?? 😹😹😹😹 Bora nikae nyumbani bwana.
2024-09-13 15:14:35
2
felixbabuu
Fb engineering ltd :
kocha anamuuza, mzungu anawasha motooo
2024-11-19 17:26:01
2
tozzkiddy3
tozzkiddy🥊👊💪🥊 :
@Lion nakubali champion
2024-09-30 09:33:18
2
ezekieljrsimbagmail.com
TIITO MOVIES :
sombaya unavyo mpamoyo bondia wakopawa inaongezeka lakini ukimuambia mwanangu mbonauna pigwatu weweananyongea anakua mnyonge
2024-09-13 08:58:10
2
elly.phanho3
Elly Phanho :
Koch kabxa unaon pale hamtoboi lakn
2024-12-04 08:21:27
2
tozzkiddy3
tozzkiddy🥊👊💪🥊 :
@𝕃𝕀𝕆ℕ..!🦁 jab jab nyingi yani broh mapepe tu uyo 🫵👊👊🥊🥊🙏👍👍😃
2024-10-05 10:42:00
2
mgdrummer2
MG2/2 :
nimejifunza kit. wenzet wana train sana nguv huyu mzungu uwezo wa kawaida ila inaonesha ana power kuliko mbongo wet but mwanet yuko vizur
2024-09-11 19:18:10
2
mgdrummer2
MG2/2 :
yakulia
2024-09-11 19:16:41
2
fittrucker91
The Boy :
who won please bro
2024-09-12 05:06:39
2
chugabarber
chugabarber :
😂😂😂😂 tz yani
2024-10-08 08:41:30
2
abuu3523
ABUU :
weka tuweke
2024-09-14 21:24:38
2
muuh8986
muuh ♥️Winga smart 🍎 :
mwalim ndo ana pigan mwanfunz na wakilisha tu😂
2024-10-09 18:59:21
2
user1761438250953
Ivan the Don :
safi, your a good trainer nimependa, ukisema jamaa anafanyia kazi hapo hapo na majibu hata sisi tunayaona
2024-09-12 04:00:31
2
abou_semhando
abou :
saf sana nzur kwa kocha nzur kwa mwanafunz akiambiw hufanya saf sana nimeipend hii mkuu
2024-09-12 04:09:37
2
meshack.ezekiel2
Meshack Ezekiel :
nganga ngashtuka nakubali
2024-09-12 01:06:22
2
fauzinho1
Fauz Khalid :
@Khalid Joho 😂😂
2024-09-12 04:11:59
2
bmwblackbird08
BMW ENTHUSIAST-🇰🇪 :
I like your hype hata kama you are loosing you feel strengthened
2024-10-30 12:05:02
2
zone8724
Dully zone mc :
🥰🥰🥰
2024-10-11 16:42:23
1
tikokidari
Rogers :
oya matoke ya apa alishinda nani
2024-10-10 17:18:49
1
habibacut1
Habiba :
Wapi 😎hiii 🇺🇸 au
2024-10-11 12:57:49
1
irdestin1
irdestin :
jama ana chenyetwa eti hamna kitu😁😁😁😁😁😁😁
2024-09-23 03:42:30
1
williejonespreachermusic
Willie Jones Preacher Music :
Coach you are confusing the boxer, kazi yako ulifanya tulia tuone matunda
2024-09-14 08:30:46
1
ibrahim_hassani89
Cadabra KD ibu :
huu mchezo haunifai ningekuwa nishaua mtu kitambo hapo
2024-10-12 09:01:40
1
wzzynana
🦋Wzzy nanah🦋 :
❤️❤️
2024-09-22 19:54:32
1
sika5312
sika :
mzungu yuko seriously kbs
2024-09-23 20:21:41
1
user3038190148148
pushup master 💪👊 :
ngumi ni kazi sana ni mchezo wa mauaji
2024-10-09 18:36:22
1
user97961494605092
Champion Ngozy :
Chilala Champion
2024-09-24 06:55:42
1
babakepascal254
jeshi ya Allah :
huyo couch Yuko poa
2024-10-09 05:46:23
1
To see more videos from user @coachlion3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About