@iroc.tv: Mwenyekiti anataka kumnywa mtu Supu 😂 OUT NOW! Bonyeza link kwenye Bio kuangalia kipindi youtube iRoc Networks 📺 @alikamwe , @laviemakeup @charles_matukio Cc @iroc.tv @nmbtanzania Sponsored by @johnniewalker_tz 📍 @elementstz #BeMore #Thejunction#NmbKaribuYako#JohnnieWalkerTZ #Ad #keepwalking#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #rwandatiktok🇷🇼 #ugandatiktok🇺🇬 #matukio
Ally oky i agree it was but i remember tuliongea yakaisha why uje uongee kwa media past things eeh then tambua mm nina familia yangu sshv plz and plz
2024-09-12 13:26:34
13
mwamvita :
nakuunga mkono kabisa nilinunua king'amuzi changu tulikuwa hatuna kitu akaniambia tukiuze tununue chakula ndani mshenzi yule akaenda kunywa bia taifa huku anaangalia mpira wa simba aiseee inauma
2024-09-12 09:38:28
51
Luppy001 :
ukute supu ya jagwani ilikuwa ya ex wa Alikamwe, yote kwa yote me napenda mwanaume akiumizwa 🤣🤣
2024-09-12 15:13:25
44
annagadiel1 :
ila ally mongo muoongo mana alisemaga hela aliyo wahi kuonga kubwa ni laki moja 😅dah Leo anasema laki 9 ah alianatupiga
2024-09-12 11:57:46
10
004 Gaming hound :
Bonge la segment , this kipindi going places ,
2024-09-12 10:24:56
11
Patrah :
Sisterhood is proud of that Mshenzi 😆
2024-12-26 13:36:42
1
YUNUS ADAA :
tupo pamoja semaji kuna Ex wangu mmoja nikipata ela nying wallah namfunga
2024-09-13 20:47:06
4
ALYAN :
Dah ata me imekuta hiyo ila popote alipo alaaniwe walahi.
2024-09-12 09:58:56
6
️bint_ Kingo❤️😇 :
tumepata mwakilishi wadada mukipata nafas ya kuwakilisha musiichezee uko jmn🙌🙌🤣
2024-09-12 09:32:26
14
Salim :
Ila Ally shabani mapenzi yamekutesa sana kabla ya kujipata ii ni story ya watu wengi wanapitia kwa nyuma
2024-09-12 09:33:31
31
BeeMzury💝🌹 :
daaah so poa ilaaa ....ukipata nafasi ya kumuumiza mwanaume muumizeee tu bhna😂😂😂😂
2024-09-14 08:21:39
5
i'm :
ila ally na supu🤣🤣🤣
2024-11-10 09:18:55
2
Maimatha😂🤭 :
mh pole sana
2024-09-13 00:15:10
1
MSOPHE Atanac :
bora huku kaskazini hujaja
2024-10-17 14:31:42
1
nayma :
ila ally kateswa sana na mapenzi😁😁
2024-10-12 13:39:49
1
bint nanyaro :
anafanana na aly kamwe.
2024-10-05 16:33:12
1
userkingmkinga :
mungu atamuhukumu
2024-09-13 20:01:29
1
felinusmathias :
dah almfanyia vibaya bro wetu
2024-11-17 06:05:59
1
mishi baby :
ally kamwe kwenye hiyo laki tisa unitumie laki tatu tuh
2024-09-12 17:40:49
1
Lui :
Kumbe Mchango wa harusi🤣🤣🤣🤣🤣
2024-09-12 19:41:53
1
user2208119688856 :
Alikamwe hata kama anasimulia kitu cha maumivu anakuwa na vibe balaa 😂😂
2024-09-12 18:05:38
1
Khamis Juma :
Yani Bora mim wangu nime mjua na nime muahidi nguo zote za harusi juu yangu mm pole
2024-10-26 19:17:15
1
️bint_ Kingo❤️😇 :
halaf kumbe wazo la supu limetokea hapa🤣🤣
2024-09-12 13:03:02
4
Benadetha Joseph31 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bora ww rafiki ako aliungwa kwenye group mimi nilijiunga mwenye kwenye group baada ya mshikaji kuweka link 🤣🤣🤣🤣🤣
2024-09-12 09:30:04
2
Black lion :
Khaaa kuna watu wana roho mbaya ata shetan anasingiziw😂😂😂😂
2024-09-12 19:13:07
1
To see more videos from user @iroc.tv, please go to the Tikwm
homepage.