Ni haki yako kufundisha hivyo kulingana na kizazi kilichopo duniani🥰
2025-04-07 06:20:24
2
Tim Del :
Nimeanza kumiss moto sasa
2024-09-29 18:50:11
6
baby princess :
Na iyo ni injili ? 😀😀😀😀 Mungu tusaidiye sana .
2024-09-19 08:03:30
7
Denis ndamukiza :
ivi mna Uhakika uyu ni pastor?😂😂😂😂😂😂😂
2024-11-28 20:34:54
25
user403000143431 :
Hamna mchungaji apa ni gelesha tu,tmepoteza mtu
2024-11-23 14:30:10
6
MAMA S&P👭💝💝❤️ :
huyu ni kama ni brother wa Mzee majuto😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-11-04 16:41:15
3
Don_kibet :
why are u collecting cash
2024-09-12 19:13:05
21
Ole j Paringo 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿 :
tukuwapata 10000 kama Hawa nchi itaendelea kimawazo🥰🥰🥰
2024-11-22 17:47:01
15
E-sir.Hatucheki na watu :
hataki mambo ya sadaka kama kumpa pesa mpe pesa yeye binafsi..sio kwa neno la sadaka ama fungu la kumi..mpe pesa yeye akule..wewe umempa kwa mkono wako na kapokea kwa mkono wake.
2024-09-12 21:00:35
14
Lingz-11👀 :
mbn wote wanaopeleka pesa ni wanaume tu🤣
2024-12-02 08:46:49
0
Kipsang limo :
postor anaona Kando lakini mikono inashika pesa 😁😁😁
2024-10-06 08:25:51
12
KABALE YOHANA :
unafundisha nn sasa
2024-09-16 05:53:32
11
TuberiaMotors 💥💥💥💥💥 :
🤣🤣🤣mapastas na makarao wa traffic kitu kimoja
2024-10-04 22:08:51
7
Titotheone576 :
coe mtafute pastor hananja mnaacha kitendea kazi huku
2024-11-25 17:02:37
3
official _D :
huyu pastor si aende tu cheka 2 😂😂
2025-03-24 13:26:00
2
Abigail :
adi nimesoma maandiko
2024-10-09 20:18:39
0
kēlvīñ kē✨✝️ :
hohohoho 🤣🤣🤣🤣
2024-11-24 06:05:38
2
Minah✝️🥀😘 :
😂😂Sasa hawa wanatoka sadaka ya nn 🥹
2024-11-26 16:52:57
0
8TH :
Amen! Meseji sent
2024-11-21 18:50:18
3
To see more videos from user @emmanuely136, please go to the Tikwm
homepage.